Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi wakenya huwa wakiambiwa deni ni kubwa wanajitetea kwamba hata Japan wana deni kubwa, waje watuambie kama WB wameiweka Japan au USA Katina hili kundi.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
kama ume-notice week hii imekua ya news mbofumbofu kwao wakigeuka Amina chalii.., upande wa pili WB hao wamewaweka kwenye kundi la heavily indebted n risky..! wakigeuka kule Uhuru katangaza habari za Maombi baada ya kuaminishwa wamepigana na COVID19 na baada ya Uhuru kudai Tanzania wanaficha data..!
 
Yaani nyie mna mall moja tu inayoitwa milimani city. Haki mnatuangusha sisi wana Afrika Mashariki. Hata Uganda kanchi kadogo kana malls nyingi kuwashinda. Halafu hapa Afrika, Afrika Kusini pekee ndio imeshinda Kenya kwenye idadi ya malls. Kwa hivyo hapa hakuna battle na sitakubali kupigana battle ya malls na nyie.
Hehehe kumbe hadi ww uko mweupe tu...
Google is your friend mall zingine kubwa Dar ni Hizi

2.Quality centre 30sqm along nyerere road
3.Mkuki house Mall 20sqm along Nyerere road
4.GSM Mall besides Quality centre along Nyerere road,GSM Mall Msasani
5.Aura Mall along Morogoro road
6.City Mall along Morogoro road
7.Morroco square Mall
8.Palm Village Mall mikocheni
9.Mbezi beach Mall
 
So the largest mall in Dar es salaam is 30k m2? Kumbe hata Eldoret is ahead of Dar.
 
Yaani nyie mna mall moja tu inayoitwa milimani city. Haki mnatuangusha sisi wana Afrika Mashariki. Hata Uganda kanchi kadogo kana malls nyingi kuwashinda. Halafu hapa Afrika, Afrika Kusini pekee ndio imeshinda Kenya kwenye idadi ya malls. Kwa hivyo hapa hakuna battle na sitakubali kupigana battle ya malls na nyie.

Labda ni kweli Nairobi kuna Malls nyingi klk Dar, lkn ukweli ni kwamba hakuna mall nzuri Nairobi kama Mlimani City, na nimefika malls karibia zote kubwa Nairobi, Mlimani City haina mfano kwa uzuri na ubora wa kila kitu, ...
 
So the largest mall in Dar es salaam is 30k m2? Kumbe hata Eldoret is ahead of Dar.
Eldoret na Dar wap na wap ndugu yangu ww? Yes largest Ni mlimani city n Quality centre both are 30sqm
 
Labda ni kweli Nairobi kuna Malls nyingi klk Dar, lkn ukweli ni kwamba hakuna mall nzuri Nairobi kama Mlimani City, na nimefika malls karibia zote kubwa Nairobi, Mlimani City haina mfano kwa uzuri na ubora wa kila kitu, ...
Sijafika Nairobi lakini bado sijaamini kauli yako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
None of these pictures you have posted here can`t even be considered to be malls in Nakuru.
Keep crying little baby ,because after compliting of this one[emoji116] there will be no one above her not in in this region mark my word[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] so i suggest keep laughing while you can cause it will not last longer[emoji706]
Screenshot_20200918-123442.jpg
Screenshot_20200913-122131.jpg
 
Back
Top Bottom