Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,985
- 27,996
Milimani can`t even be in top 5 best malls in Kisumu. Nairobi I doubt that kama inaezapatikana in top 50Endelea lkn bado sana kulinganisha na M.City, ...
Milimani can`t even be in top 5 best malls in Kisumu. Nairobi I doubt that kama inaezapatikana in top 50Endelea lkn bado sana kulinganisha na M.City, ...
Naijua wapi. Today is the first time nimeskia hiyo jina. Kwanza I doubt hata kama ni mall.Kwani wewe hauijui Mlimani City?
Milimani can`t even be in top 5 best malls in Kisumu. Nairobi I doubt that kama inaezapatikana in top 50
Naijua wapi. Today is the first time nimeskia hiyo jina. Kwanza I doubt hata kama ni mall.
Usisahau imeanza kujengwa 2017 na ni ndefu hakuna mfano so unategemea miaka miwili tu ikamilike? Hakuna sgr line ndefu km inayojengwa Tz ukanda huu, na pia usisahau itakuwa ni ya umeme hvyo hapo kuna kazi mbili kwnz kujenga reli pili kutengeneza miundombinu ya umeme.Hii sjiara haijawahi kukamilika?
Wewe weka picha hapa nione hata kama inaezafit to be called a mall huko Garissa.labda kwa ladha yako, lkn Mlimani City hata ukiweeka San Fransisco itafit tu, ...
Hii yenu ni fupi. Kama Ethiopia wanaweza kujenga Sjiara ya 700 km kwa miaka mitatu mbona ninyi malazy mnachukua zaidi ya miaka mitatu kujenga 200 km?Usisahau imeanza kujengwa 2017 na ni ndefu hakuna mfano so unategemea miaka miwili tu ikamilike? Hakuna sgr line ndefu km inayojengwa Tz ukanda huu, na pia usisahau itakuwa ni ya umeme hvyo hapo kuna kazi mbili kwnz kujenga reli pili kutengeneza miundombinu ya umeme.
Msiwe na haraka wakunya mtaiona tu na hatimaye na cc EA tutakuwa na cha kujivunia mana Afrika mashariki kuwa na reli ya umeme c mchezo ni jambo la kumshukuru Mungu aisee.
Tz nyota yake inang'aaa xaxa
Na nyie mlichukua miaka mingapi....?? Na yetu sio 200km...Ongea facts...Hii yenu ni fupi. Kama Ethiopia wanaweza kujenga Sjiara ya 700 km kwa miaka mitatu mbona ninyi malazy mnachukua zaidi ya miaka mitatu kujenga 200 km?
Sisi tulichukua miaka mitatu kujenga phase one. Yenu ni 200 km phase one na mumeshindwa kuimaliza chini ya miaka mitatu.Na nyie mlichukua miaka mingapi....?? Na yetu sio 200km...Ongea facts...
Eldoret na Dar wap na wap ndugu yangu ww? Yes largest Ni mlimani city n Quality centre both are 30sqm
Hebu Google kutoka Dar mpk Kigoma au kutoka Dar mpk Mwanza ni km ngp zen ujeHii yenu ni fupi. Kama Ethiopia wanaweza kujenga Sjiara ya 700 km kwa miaka mitatu mbona ninyi malazy mnachukua zaidi ya miaka mitatu kujenga 200 km?


The same way we doubt about your malls..Kwenye maneno kumi ya mkenya chukua moja...Naijua wapi. Today is the first time nimeskia hiyo jina. Kwanza I doubt hata kama ni mall.
Bado ukitafuta picha za kuweka, acha nikuongeze na hizi hapa. Hii inaitwa The Hub Shopping MallEndelea lkn bado sana kulinganisha na M.City, hata quality tu ya majengo ni tofauti, Mlimani City inavutia zaidi, ...
Unamwambia zero brain aingie Google...?? 🤣🤣🤣🤣
Ukweli ni kwamba Kenya ni purely "Failed state", ukiwauliza wakenya na viongozi wao kuhusu mwelekeo wa Kenya kama nchi ni upi, zaidi ya Hustlers vs BBI, au Tangatanga vs Kieleweke, hawana zaidi ya hapo.kama ume-notice week hii imekua ya news mbofumbofu kwao wakigeuka Amina chalii.., upande wa pili WB hao wamewaweka kwenye kundi la heavily indebted n risky..! wakigeuka kule Uhuru katangaza habari za Maombi baada ya kuaminishwa wamepigana na COVID19 na baada ya Uhuru kudai Tanzania wanaficha data..!
Bado ukitafuta picha za kuweka, acha nikuongeze na hizi hapa. Hii inaitwa The Hub Shopping Mall
View attachment 1595659View attachment 1595661View attachment 1595664
Ww mwanamke una matatizo sn unajifanya huijui mlimani city ww na umeiongelea mara kibao humuWewe weka picha hapa nione hata kama inaezafit to be called a mall huko Garissa.



let`s enjoy The Hub Shopping Mall as you still doubt.The same way we doubt about your malls..Kwenye maneno kumi ya mkenya chukua moja...
Hii gari ndio Milimani Mall 😂 😂Ww mwanamke una matatizo sn unajifanya huijui mlimani city ww na umeiongelea mara kibao humuView attachment 1595666