Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi siongei kuhusu transmission lines. Transmission lines ni rahisi kujenga. Mimi naongea kuhusu mradi wenyewe. Huo mradi wa Nyerere hydro itachukua miaka kumi kukamilika, that is, kwa bahati nzuri ikiwa haitakufa kifo cha mende.
Hata ikikamilika itagenerate 2,000 MW na total power generation itakuwa 3,500 MW. Huu mradi ni white elephant kwa sababu demand ya umeme TZ ni 1,500 MW sasa hivi na miaka miwili zijazo itakuwa pengine 1,700 MW. Sasa mradi huu utakapozinduliwa miaka miwili zijazo, TZ itakuwa inagenerate 3,500 MW ilhali nyie mtakuwa mnatumia 1,700 pekee na kupoteza 1,800 MW. Hio ni kutupa pesa. Nchi yenu haina viwanda vya kutosha ili kujustify kujenga hydropower kubwa hivyo. Mtavuja pesa sana. 80% ya hio power haitatumika.
Ww kwel sio muelewa kitu kinachohitajika n nchi kuwa na umeme wa kutosha ili kuendana na Kasi ya maendeleo ya taifa sasa kama Tanzania xaxa hv wanaweza kugenerate umeme mwing had ukazid n xawa ndio jambo zur coz inawezekana kabisa hata kuuzia nchi jiran zenye uhaba wa umeme, Ila sio kwa hoja hyo unayoisema eti utabak hapo umefeli jenga hoja vizur umechemka hapo
 
Kenya vp unakwama wap xaxa hv....?
 

Attachments

  • FB_IMG_1600205938752.jpg
    FB_IMG_1600205938752.jpg
    16.5 KB · Views: 7
Yule mwimbaji wenu anayeitwa Darassa hajui kizungu hata kidogo. Huwa anachekesha sana. Diamond pia kizungu chake ni kibovu sana
Ww kwel umechanganyikiwa na wazungu,yan wamekutawala kimwil hadi kiakil, yan ww mtu mweusi tii kama mkaa ety unajisifu kuongea kiingereza ndio maana mm huwa nasema wakenya wengi n washamba ona sasa unachoongea c ulimbukeni huu....
 
Peleka nyege huko..,mmeamua kutugeza hadi maombi ya nchi...tulieni dawa iingie
Who is African Insider? What does he know?
Yaani nyie ni useless country hamna faida yoyote EAC, ni wazembe wanafiki na msiopenda ukweli, ni wapumbavu sn kiasi cha kwamba huwa nashangaa sana kuona mtu anawasapoti.
 
Back
Top Bottom