Swali moja dogo sana, backup ya radar ya DSM, au ya KIA au Mwanza zimejengwa wapi?, ikitokea hitilafu katika hizi Radar ambazo hakuna backup itakuaje wakati tayari ndege imesharuka?
Nimeshakueleza kuwa kuna RADAR za aina mbili: civilian use na za kijeshi (air defense) lakini zote zinaweza kufanya kazi ile basic ya ku-identify vitu angani, na actually RADAR za jeshi zina nguvu zaidi ya RADAR za civilian use kwanza hula zina-dua use (defense mode and civilian mode) )na pia zinafanya mambo mengi zaidi ya RADAR za civilian, mfano target acquisition etc.
Kuna RADAR ambazo ni Fixed na nyingine ni mobile (ziko kwenye magari makubwa).
Nchi yetu inazo RADAR za kijeshi zinako-cover anga letu lote pamoja na maeneo ya mipakani ndani ya nchi za jirani zinazotuzunguka halafu pia tunazo hizo RADAR za civilian use.
The International Civil Aviation Organisation (ICAO) inazo taratibu zake ambapo nchi za jirani huwa zinasaidiana kwenye mambo ya RADAR za civilian kwa hio za kwetu zikiwa mbovu nchi jirani inaweza kusaidia kwa kipindi fulani mpaka mambo yenu yakae sawa.
Alternatively, hitilafu kwenye RADAR za civilian hizo ulizotaja kwa wakati mmoja (which is next to impossible), mobile backup RADAR inaweza kuwa-deployed kwa kipindi hicho au jeshi linaweza kutoa support kwa RADAR zao ili kuongoza ndege zitakazokuwa zinapita katika anga letu mpaka RADAR za civilian zitakaporudi hewani tena.
Tatizo la RADAR za kijeshi (air defense) ni kwamba hua hazitambuliki na ICAO kwahio kama civilian RADAR zenu zikiwa mbovu wao ICAO watasema nchi yenu haina RADAR hata kama za jeshi zipo na zinafanya kazi.
FYI, Tanzania ndio nchi yenye the most extensive air defence system in the region, by design, Mwalimu alichukua approach ya kujilinda zaidi kuliko kushambulia.
Mambo mengine ni classified bro.
[emoji14] [emoji14] [emoji14]
You nailed it
🙂