Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

karibu anytime ukifika dar nitafute nikupeleke sehemu ambazo ukirudi kwenu itabaki kama memory ya kusimulia wajukuu[emoji1][emoji1]
Kuwa makini sana na wakenya, hata kama mtafahamiana na kuwa marafiki. Usikubali kwenda kumtembelea Kenya, ukienda Kenya asijue kama upo Kenya, nadhani umenisoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wacha hoja zisizo na mashiko TAZARA ilipokuwa inajengwa iligawanywa kwa vipande na ilianzia hinterlands! Sioni mantiki ya kushinda siku ukibishana kwanini phase III inaanzia Mwanza na si Makutupora! U sound short-sighted kutoona kwamba technicalities can be a reason than ur emotions! halafu nakushaangaa ukibisha kuhusu Isaka-Kigali wakati financial modalities ni tofauti na Dar-Mwanza! Ule ni mradi kati ya Rwanda na Tanzania mfadhili akiwa AfDB huwezi kumpangia Kagame uanze kujenga Dar-Mwanza! miradi hii miwili ipo tofauti! Tumia maarifa kwenye kuanzisha arguments zako! Ndo maana nilikulenga asubuhi! Una uchokonozi usiojenga!
Geza inaonekana umeanza kuzeeka siku hizi,mimi niliuliza kuhusu Mwanza - Isaka, wewe unaingiza habari za Isaka-Kigali, Kama hujui Geographia ya hilo Eneo nyamaza wacha kujidhalilusha hadharani

Mwanza-Isaka is fully funded by GoT haina uhusiano wowote na Isaka-Kigali ambayo ndio AfDB inategemea kudhamini. Hata Kama reli ya Isaka - Kigali isipijengwa, ila ya Mwanza - Isaka lazima ijengwe kwasababu hiyo ndio kipande cha mwisho cha Central Corridor.

Kuhusu TAZARA, sina sababu ya kukujibu kwasababu leo ninahisi kichwa yako haiko vizuri, husomi bandiko ili uelewe, unasoma ili kujibu lile lilipo kichwani mwako hata Kama halihusiani na bandiko.
 
Kuwa makini sana na wakenya, hata kama mtafahamiana na kuwa marafiki. Usikubali kwenda kumtembelea Kenya, ukienda Kenya asijue kama upo Kenya, nadhani umenisoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Propagandist wacha fitina na wivu., ichoboy01 si mchawi kama wewe😂😂😂😂
 
umejuaje tunaumizwa na hio three level interchange? ilhali ilikua namkosoa mwezako asifikirie..three level interchange iko bongo peke yake
Sio bongo pekee bali E&C of Africa 3level ipo hyo tu na ndiyo maana tunaambiwa EA tupo nyuma bado, so pambane tuipeleke EA kimataifa na co kujifariji kwa vibarabara ambavyo hata Somalia vipo [emoji3][emoji3]
 
karibu anytime ukifika dar nitafute nikupeleke sehemu ambazo ukirudi kwenu itabaki kama memory yakusimulia wajukuu😄😄

Problem ni eti hakuna sehemu sitambui😂😂😂., coming just for fun., Dar kazi yake nilimalizana nayo..,done and dusted, control, delete!😂😂😉
...it's not about glamour
 
Ulichouliza Asubuhi!
Sawasawa kabisa ameuliza vizuri sana, soma post #222557 ya Ngokongosha ameelewa hilo swali na amejibu vizuri sana.

SGR yetu imegawanywa katika vipande vitano, hivi ni tofauti na Isaka-Kigali, hicho Kipande cha Mwanza - Isaka ni kipande cha Mwisho ambacho kinaanzia Isaka - kwenda Mwanza.

Sisi ujenzi wetu sio wa moja kwa moja kama Wachina walivyoijenga TAZARA, kwamba reli haikuanza kazi hadi ilipokamilika yote, sisi tunajenga na sehemu ikikamilika tunaitumia siku hiyo hiyo Kama tulivyifanya na Ubungo Interchange.

Karibuni Dar - Moro itaanza kutumika, mwakani trains zitaunganisha hadi Makutopora. Tulitegemea kipande cha Makutopora hadi Isaka kifuatie ili trains zifike Isaka by 2023, kuliko kujenga kipande cha mwisho tukaruka hiki cha katikati, ina maana hicho kipande cha Isaka - Mwanza kikikamilika, hakiwezi kutumika hadi kisubiri kuungwa na Kipande cha Makutopora - Isaka
 
Kuwa makini sana na wakenya, hata kama mtafahamiana na kuwa marafiki. Usikubali kwenda kumtembelea Kenya, ukienda Kenya asijue kama upo Kenya, nadhani umenisoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hawa nawajua vzr hawanisumbui bro usiwe na waswas kabisa 😂😂
 
Back
Top Bottom