Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Walificha mikia, yani outsise Dar, no town can level with even Kenya's no.5 kote kote, drone views has exposed how Tz is still an LDC on the ground but Lower mido income on paper, where TZ is just at the tail end of it, a slight hiccup economicaly wana anguka LDC., but bro am proud to be East African, I brag to my Zim n Angola friends I trade fx with about how EAC is the King of Africa., wakiteta nawambia waangalieRwanda, Tz Kenya and by extension Ethiopia, wana tii deadly!
Kwa hiyo mmeona Dar sio level yenu.tukiwaletea maendeleo ya Tanzania nzima si mtapotea?[/QUOTE]Lete video ya mji wenu wwte ule mnaoukubali tukuletee mji wa tano alafu ulinganishe
 
Barabara ya kupitana kw juu tatu kenya ilifanyika 10yrs ago[emoji382]
Sorry km ni ile uchafu ya sijui pangani .....better come with something unique [emoji116] one and only
JamiiForums-1032483570.jpg
 
Hii barabara moja utaposti kila wakati kama wazimu? Si ukae siku moja kabla ya kuposti ndio tupumue? Tunajua hamjawahi kuona flyover, hii ndio flyover yenu ya kwanza lakini huu ushamba umezidi. Malazy punguzeni nyege ni hii flyover, tafadhali posti vitu zingine kwa sababu uzi umeshahariwa kwa post hii moja.
tulia sidano iingie tony 😀😀
 
Back
Top Bottom