Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Newly completed police services apts
Kamulu
1601885306759.png


Nyamira in kisii police apts
1601886352796.png
 
New kenya police service units 2018. This new building technology can be used for upgrading slum dwellings across kenya hopefully.
 
Logic ya kuwa na backup control centres apart from the main centre ya Dar in Kwamba Kama kukitokea hitilafu kwenye main centre ya Dar (lets say hitilafu ya moto etc etc) shughuli za treni bado zitaendelea.

Kumbuka kuwa treni zetu zitakuwa zinaendeshwa kwa kiwango kikubwa kutokea kwenye control centre, dereva yuko pale kwa ajili ya kufanya vitu vichache sana, Watu wa control centre watakua na uwezo hata wa ku-commanda treni isimame au iongeze speed etc etc.

Nimeona pia mnajaribu kutumia anlogy ya RADAR coverage Vs. Fiber optic cable coverage katika mfumo wa SGR🙂

RADAR:
RADAR ni mfumo wa mawasiliano bila waya unaotumika ku-detect vitu kwa kuvimulika na signal na kutumia returning/bouncing signal kutoka kwenye hivyo vitu vilivyomulikwa ili kujua vitu hivyo viko katika umbali gani au maeneo gaini. Vitu hivyo vinaweza kuwa ndege, missiles, drones etc.. Kwa kifupi coverage area ya RADAR station inategemea na nguvu yake ya kutuma signal (transmit power) pamoja na aina ya antenna zinatotumiwa. Kwa hio tunapokuwa na RADAR 5 za civilian nchi nzima maana yake ni kuwa kila RADAR station moja ina-cover eneo (sector) fulani la anga la nchi na zikiwa combined nchi nzima inakuwa covered. Hivyo basi hakuna ndege itakayopita kwenye anga letu bila ya watu wetu kuitambua, ofcourse tunazo pia RADAR stations za kijeshi ambazo ziko classified na hutuwezi kuzijadili hapa.

Fiber Optic Cables:
Fiber optic ni mfumo wenye kutumia nyaya ndogo ndogo sana zilizowekwa pamoja kama mkongo kwa lengo la kusafirisha mawasiliano kwa kutumia speed ya mwanga.


NJIA ZA MAWASILIANO KWENYE SGR YETU:
Kati SGR yetu kunajengwa aina mbili za mawasiliano kama ifuatavyo:

1 - Fibre optic - Huu ni mkongo umejengwa kandokando ya reli na utatumika kwa mambo makuu mawili (1) Traffic Management yaani kupokea mawasiliano ya data moja kwa moja toka kwenye treni itakapokuwa inapita kwenye reli na kupeleka katika control center na pia kutoa mawasiliano ya data kutoka kwenye control centre na kupeleka kwenye treni. (2) Backhaul kwa mitambo ya mawasiliano ya wireless yenye kutumia standard ya GSM-Railway (GSM-R).

2- GSM-R - Hii ni standard ya mawasiliano ya kutotumia waya (radio communication) maalumu kwa ajili ya matumizi ya kwenye reli. Katika SGR yetu mfumo huu umejengwa kwenye njia nzima katika kila kilometer kama 15 (hii ndio typical coverage radius yake) hivi utaona kuna minara au Base Transmit Station (BTS) ya GSM-R. Mfumo huu utatumika kwa ajili ya Controll and Signalling ya SGR yetu ambapo madereva wa treni wanatumia kwasiliana na control centre pamoja na mawsiliano mengine yote ya data na SMS ndani ya treni. Backhaul yake itakuwa ni mkongo wa fiber optic.

MIFUMO YA UENDESHAJI YA SGR YETU:
Sasa njia hizo mbili za mawasiliano hapo juu ndio zitatumiwa ku-feed data kwenye mifumo miwili ya uendeshaji ya SGR yetu ambayo ni European Train Control System - level 2 (ETCS-2) na European Railway Traffic Management System (ERTMS).

Nadhani hii sasa itaeleweka.
Swali moja dogo sana, backup ya radar ya DSM, au ya KIA au Mwanza zimejengwa wapi?, ikitokea hitilafu katika hizi Radar ambazo hakuna backup itakuaje wakati tayari ndege imesharuka?
 
Swali moja dogo sana, backup ya radar ya DSM, au ya KIA au Mwanza zimejengwa wapi?, ikitokea hitilafu katika hizi Radar ambazo hakuna backup itakuaje wakati tayari ndege imesharuka?
yaani unataka kusema unajaribu kufananisha ECTS level 2 na Aerial radar! Mbona kazi zake tofauti? Radar ikiharibika zile za Kenya, Uganda na Rwanda zitasaidia maana circumference coverage ya hizi zetu haziwezi ku-cover the area bali overalapping radears za nchi jirani!
 
yaani unataka kusema unajaribu kufananisha ECTS level 2 na Aerial radar! Mbona kazi zake tofauti? Radar ikiharibika zile za Kenya, Uganda na Rwanda zitasaidia maana circumference coverage ya hizi zetu haziwezi ku-cover the area bali overalapping radears za nchi jirani!
Onyesha radar ya Kenya inayofika Dar, Hakuna Radar ya nchi yoyote inayofika Dar wala Mbeya, kukitokea matatizo katika hivyo viwanja itakuaje?
 
Hahahaha sasa aliekuambia hayo mambo Nyerere hakuyafanya ni nani? Hivi unajua Tanzania ndio ilimsaidia kenyatta gari ya kustruggle na ukombozi? Get to know your grade,

Hii nimeongelea to the modern politics
chizi huyo huwa hakuna anachokijua
 
Back
Top Bottom