Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Gari linalotumika na ma Al shabaab,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ingekua V8 ama Range pengine ningepiga hesabu., hiyo ni kama zile model za polisi huku za kukimbizana na walevi wa pombe haramu vijijini[emoji23][emoji23][emoji23]

huoni shida kupenda kitu sawa na mtoto wa kike[emoji2][emoji2][emoji2].

hiyo gari hata kwa kuitizama tu anayemiliki alikuwa na option kibao,ila sababu ni mwanaume akaiona hiyo.
kwa mwanaume unapotaja land cruiser huwezi iacha hii ukataja v8,range rover ukaiacha defender utakuwa na kasoro.
 
Aaah wapi!, hilo gari pesa yake inaweza kujenga nyumba 5 nzuri kwa wakazi wa Kibera. Hivi hujasikia ule msemo kwamba "Thamani ya "Cruser" huongezeka kadri umri unavyozidi kuongezeka?
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
huoni shida kupenda kitu sawa na mtoto wa kike[emoji2][emoji2][emoji2].

hiyo gari hata kwa kuitizama tu anayemiliki alikuwa na option kibao,ila sababu ni mwanaume akaiona hiyo.
kwa mwanaume unapotaja land cruiser huwezi iacha hii ukataja v8,range rover ukaiacha defender utakuwa na kasoro.

Kitu ambacho kinatumiwa na polisi huwa "ladha" yake inaisha, negative perception towards police force, inabeba maiti pale wanapopiga majambazi risasi, kubeba kwavunja sheria. Na pia sana sana inependwa na watu wa kusafiri masafa marefu na kampuni za tours ndio wanazipenda. Mie wacha nibaki kwa V8.,
 
ataitishwa ngeta na wakina Kamau na Maina, aje kusimulia! Mimi nikiwa kwao sijitambulishi kama Mtanzania! Mimi huwa mtu wa Mombasa au Pwani nikiwa kule!
Hawezi pata hiyo bahati ya kurudi akiwa hai, hawana muda huo wa kupoteza, kwao ni mwendo wa "Copper"tu.
 
Kitu ambacho kinatumiwa na polisi huwa "ladha" yake inaisha, negative perception towards police force, inabeba maiti pale wanapopiga majambazi risasi, kubeba kwavunja sheria, sana sana watu wa kusafiri masafa marefu na kampuni za tours ndio wanazipenda. Mie wacha nibaki kwa V8.,

hukukwetu hata hizo v8 wanatumia polisi pia.

perception inayokuja,mtu kama wewe kutumia hiyo inaonekana huna pesa za mawazo,maana inauzwa bei nzuri,imara pia,na inatumia mafuta mengi.
 
Back
Top Bottom