ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,865
rudi shuleni ukasome kwanzaThree level ni nn[emoji848][emoji848]
rudi shuleni ukasome kwanzaThree level ni nn[emoji848][emoji848]
huyo ni mkenya wewe pimbiHao si wale wale hiaga unaleta screenshot zao[emoji23][emoji23]
Leo unawaruka sio[emoji122][emoji122]
labda ulifika kwenye ile ndoto ambayo ukiamka asbh ushakojoa kitandani😂😂😂Problem ni eti hakuna sehemu sitambui😂😂😂., coming just for fun., Dar kazi yake nilimalizana nayo..,done and dusted, control, delete!😂😂😉
...it's not about glamour
😂😂😂😂😂Mumeliona lile" Land Cruiser" lake mumeanza kulipigia mahesabu sio?[emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo lao hawapendi kukubali mapungufu yao hawa jamaa.Sio bongo pekee bali E&C of Africa 3level ipo hyo tu na ndiyo maana tunaambiwa EA tupo nyuma bado, so pambane tuipeleke EA kimataifa na co kujifariji kwa vibarabara ambavyo hata Somalia vipo [emoji3][emoji3]
Kwn zile tweets unazoleta ni za warundihuyo ni mkenya wewe pimbi
Janja yao mimi kwisha tambua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mumeliona lile" Land Cruiser" lake mumeanza kulipigia mahesabu sio?[emoji23][emoji23][emoji23]
I cant wait!, am upbeat😂😂😂😂uktoka apo ukapige kitu cha zege 😁😁 sjui kama utarudi kwenu wewe
ntamuomba icho akupitishe na pale kimboka kwe huduma pendwa..😁😁😁😁
Gari linalotumika na ma Al shabaab,😂😂😂😂 ingekua V8 ama Range pengine ningepiga hesabu., hiyo ni kama zile model za polisi huku za kukimbizana na walevi wa pombe haramu vijijini😂😂😂Mumeliona lile" Land Cruiser" lake mumeanza kulipigia mahesabu sio?[emoji23][emoji23][emoji23]
Aaah wapi!, hilo gari pesa yake inaweza kujenga nyumba 5 nzuri kwa wakazi wa Kibera. Hivi hujasikia ule msemo kwamba "Thamani ya "Cruser" huongezeka kadri umri unavyozidi kuongezeka?[emoji23][emoji23][emoji23]Gari linalotumika na ma Al shabaab,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ingekua V8 ama Range pengine ningepiga hesabu., hiyo ni kama zile model za polisi huku za kukimbizana na walevi wa pombe haramu vijijini[emoji23][emoji23][emoji23]
Actually siri ya Alshabaab kuwachapa KDF ni kwasababu wanatumia hizo Cruser [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Gari linalotumika na ma Al shabaab,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ingekua V8 ama Range pengine ningepiga hesabu., hiyo ni kama zile model za polisi huku za kukimbizana na walevi wa pombe haramu vijijini[emoji23][emoji23][emoji23]
Baada ya kuwa amusha saa hii hiyo kazi mnaiweza kweli kweli...tu..ila baadaGari linalotumika na ma Al shabaab,😂😂😂😂 ingekua V8 ama Range pengine ningepiga hesabu., hiyo ni kama zile model za polisi huku za kukimbizana na walevi wa pombe haramu vijijini😂😂😂
hahah na baada ya kuijua kazi baada ya "wakora" kuvamia hapo naii na kuwafundisha hio kazi saiv mnatamba kweli kweli...ila kawaida soko na modifications lazima mje south 🤣 🤣Gari linalotumika na ma Al shabaab,😂😂😂😂 ingekua V8 ama Range pengine ningepiga hesabu., hiyo ni kama zile model za polisi huku za kukimbizana na walevi wa pombe haramu vijijini😂😂😂
hawajui hata utaratibu wa kudrive wa nchi yaofool, hamuendeshi on the right!
ataitishiwa ngeta na wakina Kamau na Maina, aje kusimulia! Mimi nikiwa kwao sijitambulishi kama Mtanzania! Mimi huwa mtu wa Mombasa au Pwani nikiwa kule!Kuwa makini sana na wakenya, hata kama mtafahamiana na kuwa marafiki. Usikubali kwenda kumtembelea Kenya, ukienda Kenya asijue kama upo Kenya, nadhani umenisoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
duuh......!!!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kweli nyie wakenya ni chenga mlevi unamkimbiza kwa gari.......tena kijijiniGari linalotumika na ma Al shabaab,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ingekua V8 ama Range pengine ningepiga hesabu., hiyo ni kama zile model za polisi huku za kukimbizana na walevi wa pombe haramu vijijini[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijasema itajengwa nyingine mwanza ila nimesema lazima iwe na back up, inaweza kuwa dodoma, tabora, kigoma au mza.Ndicho ninachosema, wao wanadhani hata Mwanza pia kutajengwa Control Centre jambo ambalo sio kweli.
Haiwezekani the whole track kuwa na operating center moja tu!Sijasema itajengwa nyingine mwanza ila nimesema lazima iwe na back up, inaweza kuwa dodoma, tabora, kigoma au mza.
Hatuwezi tukawa na moja tu siku ikiwaka moto treni hazitembei
Aaah wapi!, hilo gari pesa yake inaweza kujenga nyumba 5 nzuri kwa wakazi wa Kibera. Hivi hujasikia ule msemo kwamba "Thamani ya "Cruser" huongezeka kadri umri unavyozidi kuongezeka?[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂walevi wakiona hiyo model ya landcruiser pombe inaisha kwa kichwa, wanachana mbuga utadhani ni mwana riadha., ata kama ni gari binafsi, pita nayo vitongoji karibu na base za pombe haramu, watu hutoroka kichizi!😂😂😂 na ile machine haikwami, inaweza vuka mtaro., ni strong and 4wheel drive.duuh......!!!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kweli nyie wakenya ni chenga mlevi unamkimbiza kwa gari.......tena kijijini