ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
hamutapata kitu inaitwa three level tulieni tu kwa sasq😂😂😂😂Barabara ya kupitana kw juu tatu kenya ilifanyika 10yrs ago[emoji382]
hamutapata kitu inaitwa three level tulieni tu kwa sasq😂😂😂😂Barabara ya kupitana kw juu tatu kenya ilifanyika 10yrs ago[emoji382]
endelea kutuonesha render tu kwa sasa😂😂View attachment 1590064
unaona ata president uhuru na governor joho..walikuja ku visit site
siku ukipata let me know 😂😂😂 otherwise sindano ziko pala pale😂😂😂😂 a drowning man clutching at straws! Umeangalia video ya Eldoret ama Nakuru residential? Wachana na Mombasa kabisaa!usiaibike😂😂😂. Kiambu na Machakos tu what they have in that line Dar will sweat to level😂😂😂 T
Barabara yenye Flyovers na Interchange nyingin Nairobi nadhani ni hii, Kabda ya hii hiyo miaka kumi ni ipi?![]()
View attachment 1590084
[/QUOTE
Hii ni Thika superhighway?. What abouts Globe?., Outer ring?, along Mombasa road?, Southern na Eastern bypasses?., ama unataka niwatese na video?😂😂😂😂, endelea kujiliwaza.,
![]()
![]()
kwenu haipo kwa sasa tulieni tu kueni wapole😂😂😂umejuaje tunaumizwa na hio three level interchange? ilhali ilikua namkosoa mwezako asifikirie..three level interchange iko bongo peke yake
Ndio sababu kila eneo moja la radar halipaswi kuhudumiwa na radar mbili tofauti, Kama kungekuwa na uwezekano wa Radar moja kufika maeneo yote Tanzania, tusingejenga Radar 4, tungeweka moja tu.Nimemsikiliza kadogosa sana ila kiuhalisia kukikorofisha dar treni hazitembei.
Umetoa mfano wa matangazo ya redio ambao ni mzuri.
Huwa tunasikiliza matangazo kutoka kituo cha dar tbc but bado kuna vituo mfano mza, Dom, Arusha wanaweza rusha matangazo Toka huko.
But kwa ufupi mara nyingi control centre ufanyaji kazi wake unakaribia kufanana na radar za ndege.
Eldoret silenced Mwanza kabisaaa😂😂😂😉 next?...,siku ukipata let me know 😂😂😂 otherwise sindano ziko pala pale
with brt servicesKuwa na adabu kidgo....nazungumzia the only breathing three level interchange.....View attachment 1590063
control center inajengwa dar es salaam ndio itakua main bro according to kadogosaNdio sababu kila eneo moja la radar halipaswi kuhudumiwa na radar mbili tofauti, Kama kungekuwa na uwezekano wa Radar moja kufika maeneo yote Tanzania, tusingejenga Radar 4, tungeweka moja tu.
Kwa upande wa SGR kwasababu inatumia fiber, kuna sababu gani ya kujenga Control centres nyingi wakati moja tu inafikia trains zote popote pale nchini?.
Kuhusu vituo vya redio, mfano uliotoa hauendani na maelezo yako, Kila redio inarusha matangazo yake kutoka katika kituo kimoja tu, TBC lazima wawe na center moja ya kurusha matangazo, ITV, Clouds au Wasafi, kila moja lazima iwe na Centre moja tu.
Kama kutajengwa reli nyengine ya SGR, nayo itakua na Control Center yake, wanaweza kuijenga mkoa wowote watakaochagua, lakini watakua na Control Centre moja tu.
ningekua sijawah kufika eldoret hapo sawa but 😂😂😂😂Eldoret silenced Mwanza kabisaaa😂😂😂😉 next?...,
hawana three level wasikuhangaishe kichwa browith brt services
haina shida but angalau tunajua inajengwa na ikifika mwaka ujao itakamilika na pia sisi pia tutajivunia..kwenu haipo kwa sasa tulieni tu kueni wapole😂😂😂
kwenu haipo kwa sasa tulieni tu kueni wapole😂😂😂
utapanda na brt ukasimulie kwenu 😁😁😁Kaka ichoboy01 nataka nije Dar tule bata., utapatikana?., we need to meet., and I see three level too for real!., 😎👌
wacha hoja zisizo na mashiko TAZARA ilipokuwa inajengwa iligawanywa kwa vipande na ilianzia hinterlands! Sioni mantiki ya kushinda siku ukibishana kwanini phase III inaanzia Mwanza na si Makutupora! U sound short-sighted kutoona kwamba technicalities can be a reason than ur emotions! halafu nakushaangaa ukibisha kuhusu Isaka-Kigali wakati financial modalities ni tofauti na Dar-Mwanza! Ule ni mradi kati ya Rwanda na Tanzania mfadhili akiwa AfDB huwezi kumpangia Kagame uanze kujenga Dar-Mwanza! miradi hii miwili ipo tofauti! Tumia maarifa kwenye kuanzisha arguments zako! Ndo maana nilikulenga asubuhi! Una uchokonozi usiojenga!Ndio sababu kila eneo moja la radar halipaswi kuhudumiwa na radar mbili tofauti, Kama kungekuwa na uwezekano wa Radar moja kufika maeneo yote Tanzania, tusingejenga Radar 4, tungeweka moja tu.
Kwa upande wa SGR kwasababu inatumia fiber, kuna sababu gani ya kujenga Control centres nyingi wakati moja tu inafikia trains zote popote pale nchini?.
Kuhusu vituo vya redio, mfano uliotoa hauendani na maelezo yako, Kila redio inarusha matangazo yake kutoka katika kituo kimoja tu, TBC lazima wawe na center moja ya kurusha matangazo, ITV, Clouds au Wasafi, kila moja lazima iwe na Centre moja tu.
Kama kutajengwa reli nyengine ya SGR, nayo itakua na Control Center yake, wanaweza kuijenga mkoa wowote watakaochagua, lakini watakua na Control Centre moja tu.
karibu anytime ukifika dar nitafute nikupeleke sehemu ambazo ukirudi kwenu itabaki kama memory ya kusimulia wajukuu😄😄Kaka ichoboy01 nataka nije Dar tule bata., utapatikana?., we need to meet., and I see three level too for real!., 😎👌
Ndicho ninachosema, wao wanadhani hata Mwanza pia kutajengwa Control Centre jambo ambalo sio kweli.control center inajengwa dar es salaam ndio itakua main bro according to kadogosa
Wewe ni muungwana sana, pale ambapo umeshindwa unajipanga upya, tofauti na hao wenzako kila kitu wanalazimisha kuonekana wanacho.haina shida but angalau tunajua inajengwa na ikifika mwaka ujao itakamilika na pia sisi pia tutajivunia..