Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aiseh nimefurahi sana kuskia hivi..pwani maeneo ya kibaha kuna viwanda kama vitano vipya vya madawa
Kairuki
Vista
Hester bio...cha wanyama
Na vingine viwili nimesahau majina...tutapunguza import za madawa
Hivi kile cha Mengi na chenyewe kipo? Dah yule mzee alikua anafyatua viwanda kila leo mara cha magari, cha electronics, cha cement, cha pharmaceuticals lakini sivisikii tena, sijui ndio alikua anaaga
 
Yani mkenya akishakuja Bongo au akiwa na marafiki kutoka Bongo ndio ana anza kuwa mjanja yani. Kuanzia kuvaa, kuongea na kupiga dili za maana na kupata chapaa.. tofauti na hapo kupata hela nairobi labda awe ametokea familia ya kitajiri..ila wengi wamejichanganya bongo na wanapata life poa tu ambalo kwa nairobi wasingeweza kulipata kamwe.
Wapo wengi huku tunawalea wengi wao ni walimu ila kinachokera ni hizi sifa zao za kijinga yn ni wajinga sana ndo mana nilikuwa naomba ifike kipindi tupigane spana hakuna mkenya kuishi Tz na hakuna mTz kuishi kenya basi.
 
Ndo maana ndoto ya pc kali huko kwao ni kugongwa na MTz au kuzaa nae kabisa

Hahah wanatumiaga kigezo kuwa wanaume wa Tz wako romantic ila kiuhalisia wanakimbia njaa kali na slum life huko kwao...

Dada zetu wa kibongo hapa kila siku huwa wanalalamika hatupo romantic.....Wakati kwa manzi wa kikenya ukumtajia tu kuwa wewe mbongo anakuwa wet yani kama kapata jiwe la Laizer🤣🤣
 
Hahah wanatumiaga kigezo kuwa wanaume wa Tz wako romantic ila kiuhalisia wanakimbia njaa kali na slum life huko kwao...

Dada zetu wa kibongo hapa kila siku huwa wanalalamika hatupo romantic.....Wakati kwa manzi wa kikenya ukumtajia tu kuwa wewe mbongo anakuwa wet yani kama kapata jiwe la Laizer[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wapo wengi huku tunawalea wengi wao ni walimu ila kinachokera ni hizi sifa zao za kijinga yn ni wajinga sana ndo mana nilikuwa naomba ifike kipindi tupigane spana hakuna mkenya kuishi Tz na hakuna mTz kuishi kenya basi.

Hao wanaopiga kelele sana hapa na ubishi ni wale ambao hawajawaki kukanyaga TZ, wanaijua TZ ile wali-hadithiwa na babu zao..ile TZ ambayo wanajazwa vichwani katika elimu yao. Kwa wale wakenya ambao wameshafika TZ mbona wapole tu..hata ubishi wao hapa unakuwa ni ubishi wa "kizalendo" zaidi...wanakubali kiaina
 
Hivi kile cha Mengi na chenyewe kipo? Dah yule mzee alikua anafyatua viwanda kila leo mara cha magari, cha electronics, cha cement, cha pharmaceuticals lakini sivisikii tena, sijui ndio alikua anaaga
Duh nahisi tokea amevuta plans zimekuwa halted kiaina...hata cha magari sijaskia
 
Wapo wengi huku tunawalea wengi wao ni walimu ila kinachokera ni hizi sifa zao za kijinga yn ni wajinga sana ndo mana nilikuwa naomba ifike kipindi tupigane spana hakuna mkenya kuishi Tz na hakuna mTz kuishi kenya basi.
Tanzania asilimia kubwa ya vijana wakienda kuanza maisha ya kujitegemea huwa wananunua mitungi midogo ile ya gesi kwa ajili ya kupikia,

Kwa kenya hali ni tofauti...asilimia kubwa ya vijana wa kenya wakienda kuanza maisha ya kujitegemea huwa wananunua yale majiko madogo ya mafuta ya taa yale yenye utambi.
 
Tanzania asilimia kubwa ya vijana wakienda kuanza maisha ya kujitegemea huwa wananunua mitungi midogo ile ya gesi kwa ajili ya kupikia

Kwa kenya hali ni tofauti...asilimia kubwa ya vijana wa kenya wakienda kuanza maisha ya kujitegemea huwa wananunua yale majiko madogo ya mafuta ya taa yale yenye utambi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hao wanaopiga kelele sana hapa na ubishi ni wale ambao hawajawaki kukanyaga TZ, wanaijua TZ ile wali-hadithiwa na babu zao..ile TZ ambayo wanajazwa vichwani katika elimu yao. Kwa wale wakenya ambao wameshafika TZ mbona wapole tu..hata ubishi wao hapa unakuwa ni ubishi wa "kizalendo" zaidi...wanakubali kiaina
Kina Edward Wanjala na yule jamaa anajiita Engineer Levin Devin ni walimu huku Tz na wanaujua ukweli sema wanapumbazwa na uzalendo.
 
Ndio maana wanabadili ID tu mara kwa mara, wanaaga kuwa hawataki tena kukaa JF ila wanajikuta wanarudi tu kwa ID mpya 😂 😂 ...huwa wanaumia sana ila ndio hivyo hawawezi kuikana nchi yao wazi wazi, ila kimoyo moyo wanataka kuhamia kabisa na kuwa waTZ kama ChoiceVariable
 
Ndio maana wanabadili ID tu mara kwa mara, wanaaga kuwa hawataki tena kukaa JF ila wanajikuta wanarudi tu kwa ID mpya [emoji23] [emoji23] ...huwa wanaumia sana ila ndio hivyo hawawezi kuikana nchi yao wazi wazi, ila kimoyo moyo wanataka kuhamia kabisa na kuwa waTZ kama ChoiceVariable
Kaka ww kiboko [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ndio maana wanabadili ID tu mara kwa mara, wanaaga kuwa hawataki tena kukaa JF ila wanajikuta wanarudi tu kwa ID mpya [emoji23] [emoji23] ...huwa wanaumia sana ila ndio hivyo hawawezi kuikana nchi yao wazi wazi, ila kimoyo moyo wanataka kuhamia kabisa na kuwa waTZ kama ChoiceVariable
Ati wanajifanya wanahama jamii forums lkn utawakuta wapo humu kwa ID ngeni, hawawezi kuhama Jf hata iweje cz km huijui Jf utahisi hiyo mitandao unayotumia ndiyo super ila cku ukijiunga Jf na cku hyo hyo unatia sign ya milele [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
JF ni noma, ukishaingia ndio umeingia huwezi kutoka tena. JF ni zaidi ya shule huku kuna madini sana unayapata kwa ada ndogo tu ya bando. wakenya wanaikubali TZ sana tu hawawezi kuondoka JF maana huku kunawafungua macho sana
 
Back
Top Bottom