Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Wewe unaweza kuwa houseboy wetu na ukawa na kwako na usafiri mzuri tu.Hujui unazungumza na nani?
Wewe unaweza kuwa houseboy wetu na ukawa na kwako na usafiri mzuri tu.Hujui unazungumza na nani?
Huuu uchafu wa cave ndio three level [emoji23][emoji23][emoji23]Three level interchange tulijenga 10 yrs ago. It`s not something new to us
Pangani Interchange (Nairobi) | bridge, highway interchange / exit
Kenya / Nairobi / Nairobi
bridge, highway interchange / exit
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
This comprises of a three-level road interchange comprising of an overpass from pangani towards Forest road, and a tunnel from Thika road, crossing over to surface again on Muranga road, and branching midway to surface also on Forest road. Service lanes are on ground level serving multi-directional roads.
Nearby cities:
Coordinates: 1°16'0"S 36°50'3"E
Huyo ni mkenya,unadhani angesemaje ??..unajitekenya halafu unacheka mwenyewe ona hapo aliposema "we top the list" kwenye aya ya kwanza mstari wa mwishosi mimi niliosema haya..watu wenyewe wamekubali..
View attachment 1588624
Aiseh nimefurahi sana kuskia hivi..pwani maeneo ya kibaha kuna viwanda kama vitano vipya vya madawakiwanda kipya cha dawa cha Kairuki. fursa pia
View attachment 1589162
Na Wachaga mtoto akitokwa na kamasi bila kulihandle anafananishwa na mkenyaKule Uganda mtu mwenye tabia mbaya na mbovu hufananishwa na kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Na Wachaga mtoto akitokwa na kamasi bila kulihandle anafananishwa na mkenya
Kweli mmewachoka [emoji3][emoji3][emoji3]Na Wachaga mtoto akitokwa na kamasi bila kulihandle anafananishwa na mkenya
😀 Hii inaonesha ni jinsi gani hawa watu wanaonekana wazezeta tangu enzi za mababu zetuNa kule kwetu wale wazee wa zamani wanaopenda kuchomekea sana nguo haswaa zilizochoka choka hivi na makoti na hawana hata mia mifukoni huwa wanafananishwa na wakenya.
😀 na vijana wa kichaga karibu na mipakani akitania kumuomba demu anasema utanipa kenya yako? Yaani hawa watu ni kKweli mmewachoka [emoji3][emoji3][emoji3]
😀 Hii inaonesha ni jinsi gani hawa watu wanaonekana wazezeta tangu enzi za mababu zetu
Wanaishi maisha feki sanaMisheni town kibongo bongo unaweza kuta ana briefcase iko na mihuru na paper fake.. ila misheni town hapo nairobi unakuta briefcase iko na mawe ndani.... unakuta mtu amechomekea ila ameparara.. kanyonga tai ila kola ya shati yote imechanika haifai..huyo ndio misheni town wa nairobi....😂😂😂
Ila buda msipobadilisha hiyo design ya stations mtaishia kulaumianaJust imaging thika road ni 10-12 lane,,BRT construction has already started,hio kibaha ni juakali type tu,thika road has may underpass, overpass, interchanges, na flyovers,, je kibaha iko na hizi zote???
Meanwhile BRT proposal for Thika road...
View attachment 1588963View attachment 1588964View attachment 1588965View attachment 1588966
Minango ya leo ni next level [emoji3][emoji3][emoji3]Misheni town kibongo bongo unaweza kuta ana briefcase iko na mihuru na paper fake.. ila misheni town hapo nairobi unakuta briefcase iko na mawe ndani.... unakuta mtu amechomekea ila ameparara.. kanyonga tai ila kola ya shati yote imechanika haifai..huyo ndio misheni town wa nairobi....[emoji23][emoji23][emoji23]
Waliokua wanahoji uhitaji wa umeme majibu yanapigiwa mistari siku baada ya sikukiwanda kipya cha dawa cha Kairuki. fursa pia
View attachment 1589162
Wana umasikini uliokithiri asee... on serious note kenya hali ya uchumi ni mbaya sana. Kuna gap kubwa sana kati la asienacho na alienacho.Wanaishi maisha feki sana
Hao jamaa ni washamba sana mkuu, wewe fatilia tu maisha yao utaelewa.Minango ya leo ni next level [emoji3][emoji3][emoji3]
Wakenya ni washamba mno wala haihitaji degree kugundua hilo, tangu nimekuwa humu ndani ndiyo nmewajua tabia zao halisi aisee hawa watu bado sana kwakweli.Wana umasikini uliokithiri asee... on serious note kenya hali ya uchumi ni mbaya sana. Kuna gap kubwa sana kati la asienacho na alienacho.
Hao jamaa ni washamba sana mkuu, wewe fatilia tu maisha yao utaelewa.
Wakenya ni washamba mno wala haihitaji degree kugundua hilo, tangu nimekuwa humu ndani ndiyo nmewajua tabia zao halisi aisee hawa watu bado sana kwakweli.