Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuanze kazi msikimbie
IMG_20201002_162703.jpg
IMG_20201002_162721.jpg
IMG_20201002_162706.jpg
IMG_20201002_162711.jpg
 
Nmekupata,Kuna bagamoyo road hapa ambayo nayo inasave watu wanaokwenda kask katika mikoa ya Tanga,Arusha,kilimanjaro na Tanga hawa wanaweza wasitumie morogoro road kuepuka foleni..vp kwa nyie mnanjia mbadala ya kufikia Thika bila kuingia Thika road?from Nairobi city
Ambayo according to Gvt and JAICA its save more than 50000+ daily
 
The funny thing is that you are comparing thika road of 2007 (way before it was even expanded) to Ubungo interchange of 2020. Thika road of 2018 handled 123,000 vehicles per day. Ubungo interchange of 2020 handles 68k vehicles per day. Can't you see there's something wrong with your brain and reasoning?
Make your doom fact right , the road handle 68,000 before construction of the interchange bogus[emoji706]
 
Okay. I stand corrected. Hawa Malazy wanajaribu kulinganisha barabara zao konde na Thika road babkubwa. Watajua hawajui. Yaani Thika road kabla ifanyiwe expansion tayari ilikuwa inabeba magari mengi kushinda hii barabara yao mpya yenye wanaturingia? Hahaha kweli wako nyuma.
Lazy pekee ni nyie msio elewa , apo nirobarry jam pekee iko apo thika ....laki kwa Dar njia za kutoka ni zaidi ya tatu...so exspect distribution of the cars almost evenly
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]very true! Hawa ukitaka kuwaweza tell them to post drone view of Dar! utacheka sana! have watched several, no room for lying with angles of the same area, Dar developed area is small, less the 20% I bet, tafuta drone view you watch, hakuna battle hapa, it is deception(Dar) vs Nairobi, of which kwa mapicha utadhani Dar ndio sasa, watch ata drone view ya three level, a small area with funy surroundings! but picha utapata kibao different angles utadhani Europe, drone view utadhani ni Kabul or some plce in pakistan or Baghdad, they have such[emoji23][emoji23][emoji23]., mimi Dar ikifika level ya Nairobi North, East, West, South, including residentials nafunga account. Drone view, gives a clear picture. Still camera gives the photographer's cherry picked perspective.,

"A broken clock is correct twice a day" = Dar.
Kumbe umekuja kutuelezea vifeelings vyako, vya chuki kisa unaiona Dar kama Europe lakini hutaki kukubali...thats on you shattle head deal with it....we dont give a shit about your denial....for mean time[emoji116]
Screenshot_20200930-162401.jpg
 
Sikh ukifikia hapa uje

Bait taken 😂 😂 😂 😂 sasa hii ndio Dar is slum! zile deceptive angles na cosmetics ziko wapi?., can't level, angalia surroundings., na hii ndio ati flyover ya maana Dar., three level sikatai, then it is shortly done, next clip please..,
 
Wapi hapo
A bigger version of Eastlands, na bado sana! weka drone view, motion clips not stills., hapa hamtoboi, giving favorable angles., naona flats kibao, exactly like Eastlands part of Nairobi, which looks almost same as areas within and around your CBD. Drop Video ya Dar.., North, East, West na South kaka., plus residentials., cant level with Nairobi Metro!
 
Kumbe umekuja kutuelezea vifeelings vyako, vya chuki kisa unaiona Dar kama Europe lakini hutaki kukubali...thats on you shattle head deal with it....we dont give a shit about your denial....for mean time[emoji116]View attachment 1588271
Vipicha vya kuchocha na kujipa matumaini tu, creating a false illusion 😂 😂 😂 😂 😂😂 I like the video clip more, inaonyesha muonekano kamili., after this na ile nyingine kuna lingine la maana?., ama weka tu same pics different angles for entertainment bro., jibambe kaka.
 
Back
Top Bottom