ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
kwenye maneno 100 ya mkenya chukua moja uondoke😂😂Mwenyewe nkawa najiuliza, tangu lini jirani akawa na 16 lanes na udongo mweupe?
kwenye maneno 100 ya mkenya chukua moja uondoke😂😂Mwenyewe nkawa najiuliza, tangu lini jirani akawa na 16 lanes na udongo mweupe?
Nicxie unasemaje au cjakusikia hebu jibu hz U/C kabla cjalala mana nna ucngz sn saizi [emoji116][emoji116]View attachment 1587580
Kweli kabisa mimi mwenyewe hii route nliitumia mara mbili miezi michache kabla hawajastop, ndege ilikua imejaa abiria. Wakunya propaganda nyingiNishaitumia hiyo route,full abiria,itakua mkakati tu kq kujiongezea abiria kama walivyosabotage kwa british air na lufthansa,wale wajinga walitaka hadi swiss air klm ziishie nairobi
Sasa tutasaidiana aje wakati unaleta mipicha bila kutaja jina ya barabara yenyewe? Huoni kama huo ni uoga?Nicxie unasemaje au cjakusikia hebu jibu hz U/C kabla cjalala mana nna ucngz sn saizi [emoji116][emoji116]View attachment 1587580
Kama umegundua wengi wao wanaoenda kwenye kampeni ni vijana, so nkafanikiwa kuwauliza vijana wachache waliokuwa wamehudhuria na waliokosa kampeni za Tundu.
hivi mwendokasi itapita pia hapa mkuu?Wenzako washaacha zamani kupiga kelele za barabara we unarudia, bahati yako umepotezea but ningekudhalilisha leo humu, ok gud night [emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 1587587
Hii inaendanaendana na mojawapo ya reason nlizozipata kwenye research yanguni mim tu sifatilii kampeni, ila siku ya uchaguzi tunaenda kupiga kura? kuna watu wanamakelele na uongo uongo mwingi naenda kuwastaafisha kisiasa!
😀 Inaelekea tukipata maraisi wa kaliba ya Magu, jirani mtapata shida sana na Magonjwa yatakayokua yanaongoza nchini kwenu ni high blood pressure na panic attacksWhy would we care. Of course he is going to win . Your country is a defacto one party state. Ati bad news for majirani . He was always going to win. Takataka.
It's called inferiority complex ndugu. Tuwaelewe tu hawa majirani zetu. Nimeona mmoja wao kasema eti their busiest road uhudumia magari 68k kwa siku nikacheka tu. That's almost twice what Thika road handles. Tukisema Nairobi kuna magari mengi kushinda Dar wanasema ni barabara ndio hatuna. Then you wonder which city between these two has better road network. One started expanding its roads and building new ones more than a decade ago while the other built its first ever elevated road one year ago. Too much blind patriotism hereHahaha. Ndio nimeshawaambia wasianze kusema hii sio Afrika. Najua hawataamini Kenya tuna magari mengi hivyo. Mentality yao ni ati Kenya iko nyuma yao. Hawataki kukubali ati Kenya tumewashinda kwa karibu kila kitu.
Ubaya ni kwamba wewe unaishi Tandale wakati mimi naishi Nairobi. Sasa mbona unapingana na mwenyeji? The eastern side of Nairobi una udongo mweupe. Huko kupata udongo mwekendu ni sawa na kupata mbwa msikitini.Mwenyewe nkawa najiuliza, tangu lini jirani akawa na 16 lanes na udongo mweupe?
😀 Hongera jirani kwa foleniUbaya ni kwamba wewe unaishi Tandale wakati mimi naishi Nairobi. Sasa mbona unapingana na mwenyeji? The eastern side of Nairobi una udongo mweupe. Huko kupata udongo mwekendu ni sawa na kupata mbwa msikitini. View attachment 1587795
Hii ungeambia wenzako wanaosema picha tumeokota. Kuhusu foleni, hii iko hata New York na Madrid. So it's no longer about 16 lanes na udongo mweupe? It's now about traffic jam 😂 😂. Kazi mnayo sana majirani😀 Hongera jirani kwa foleni
Kwahiyo kwasababu ipo NewYork kwahiyo kuwepo Kenya is not big deal?, kwasababu USA wanakufa kwa Corona kwahiyo wakenya pia wakifa kwa Corona is not problem?, stupidHii ungeambia wenzako wanaosema picha tumeokota. Kuhusu foleni, hii iko hata New York na Madrid. So it's no longer about 16 lanes na udongo mweupe? It's now about traffic jam [emoji23] [emoji23]. Kazi mnayo sana majirani
nice & cleanWewe unaona sio rangi yake? Zipo nyingi tu ambayo si rangi ya kweli [emoji23] View attachment 1587046View attachment 1587048View attachment 1587050View attachment 1587051View attachment 1587052View attachment 1587053
Did you do literature in high school? Am just trying to say that traffic jams do not necessarily mean there are fewer roads or poor road network. It just means that there are just too many cars on the roads. Cities like New York have advanced road and transportation systems but still grapple with traffic menace from time to time. What does that tell you? The point is, there are just too many cars on Nairobi streets kuliko Dar. That's the simple message I was trying to pass but you are too stubborn to understandKwahiyo kwasababu ipo NewYork kwahiyo kuwepo Kenya is not big deal?, kwasababu USA wanakufa kwa Corona kwahiyo wakenya pia wakifa kwa Corona is not problem?, stupid
.
Jibu swali. Umewahi kula githeri?neno BRT toa kwenye kichwa chako 😂😂
So Thika Road of 2006 ferried more vehicles compared to the busiest road in Dar in 2020? In 2006, Thika Road used to serve more than 70,000 vehicles per day.Busiest road in Dar ferry 68k cars in 24 hrs, what is the situation in Kenya?