Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So kwako it's necessary to compare a glorified fishing village with New York? New York York na Dar wapi na wapi! Listen to yourself
Tunalinganisha vitu vizuri tunavyopenda kufikia, kwanini hatulinganishi katika police killings, mass shootings na racism with NYC?. Workup.
 
Hata sijui mbona ulikuwa unajisumbua na kuscreenshot tweet ya msee ya evidence, you could have just circled the Tahmeed bus and Simba bus on the far left side close to that KAPA wall. Then closer to the cameraman kuna nganya ya Embassava
Dealing with bongolalas is one hell of a job. You have to spoon feed them some times
 
Tunalinganisha vitu vizuri tunavyopenda kufikia, kwanini hatulinganishi katika police killings, mass shootings na racism with NYC?. Workup.
There's nothing nice in Dar is slum bongolala worth comparing with NY. Wake from that slumber and smell the coffee
 
How a 50km road project built property millionaires
Hii article inasema wazi kwamba kabla ya hiyo Thika high way haijatengenezwa kulikua na MAGARI 60K per day, Ubungo interchange yalikua 68K[emoji23][emoji23][emoji23]
First thing first, thika road of 2007 ferried 85k vehicles per day. Ubungo of 2020 is ferrying 68k per day. If you Consider the difference in time you will find that Nairobi is ahead of Dar by 13 yrs. Remember Thika road was expanded in 2010.

Traffic flows for the heavily congested sections, estimated at 85,000 vehicles per day in 2007, have increased by 45 per cent, to an average of 123,000 per day in 2018, with a significant positive effect on the cost-benefit ratio.
 
There's nothing nice in Dar is slum bongolala worth comparing with NY. Wake from that slumber and smell the coffee
But we better compare ourselves in that direction, unfortunately you have decided to compare yourselves in negatives things, just to be at per with NYS even in crime rate [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Soma hiyo article yote wacha ujinga
Hio 60k ni kabla ya Thika road kupanuliwa ili iwe barabara pana zaidi Afrika Mashariki na kati. Lakini baada ya Thika road kupanuliwa na kuwa na leni kumi basi by 2018 ilikuwa inabeba magari 123,000 kwa siku.
 
Before Thika road ipanuliwe ilikuwa inahudumia magari 85k per day sio 60k. That 60k was just estimation before the actual figure was found in 2007.
 
Nishaisoma Kijana wa Tandale and there's nention of ubungo anywhere in that article.
Nimekuambia idadi ya gari zilizokua zinapita hapo Thika high way kabla ya kutengenezwa zilikua ni only 60K(Arcording to Kenyan newspaper), that is fewer than cars which use Ubungo junction which is 68K(arcording to Tanzania Roads Authority C. E. O)
 
Hio 60k ni kabla ya Thika road kupanuliwa ili iwe barabara pana zaidi Afrika Mashariki na kati. Lakini baada ya Thika road kupanuliwa na kuwa na leni kumi basi by 2018 ilikuwa inabeba magari 123,000 kwa siku.
Kizungu ni kizungumkuti kwao si waelewa? 😂
 
Hio 60k ni kabla ya Thika road kupanuliwa ili iwe barabara pana zaidi Afrika Mashariki na kati. Lakini baada ya Thika road kupanuliwa na kuwa na leni kumi basi by 2018 ilikuwa inabeba magari 123,000 kwa siku.
Ndio ninamuambia huyo jamaa kwamba kabla ya Thika road kupanuliwa kulikua ni gari 60K pekee, wakati kabla ya Ubungo interchange na barabara ya Kibaha high way kupanunuliwa gari zilikua 68K, sasa tusubiri Kibaha high way na Ubungo interchange zifinguliwe rasmi ndio tulinganishe [emoji23][emoji23]
 
Hio 60k ni kabla ya Thika road kupanuliwa ili iwe barabara pana zaidi Afrika Mashariki na kati. Lakini baada ya Thika road kupanuliwa na kuwa na leni kumi basi by 2018 ilikuwa inabeba magari 123,000 kwa siku.
Wewe achana na story mingi and let`s put facts straight.
Thika road of 2007 - 85K vehicles per day.
Dar busiest road of 2020 - 68k
 
Huyu sasa anatafuta excuses na mahali pa kutorokea. Kwa akili yake anafikiria kuna tu njia moja ya kwenda Thika from Nairobi. Hapo ndio sasa unasikia siku ya nyani kufa...
Tofauti yako wewe na teargas wewe Nicxie: ni fala tu,nmeuliza kufahamu mm sio mkazi Wa Nairobi ,magari yanayopita Ubungo interchange ndio hayo niliotaja takwimu kutoka kwa boss wa tanroad,sasa kama unahisi natafuta pakutokea utakua hujielewi...Kingine mm hua sipendi kubisha bila facts...alivyotoa stat zake hajaona nikibisha
 
Nimekuambia idadi ya gari zilizokua zinapita hapo Thika high way kabla ya kutengenezwa zilikua ni only 60K(Arcording to Kenyan newspaper), that is fewer than cars which use Ubungo junction which is 68K(arcording to Tanzania Roads Authority C. E. O)
The funny thing is that you are comparing thika road of 2007 (way before it was even expanded) to Ubungo interchange of 2020. Thika road of 2018 handled 123,000 vehicles per day. Ubungo interchange of 2020 handles 68k vehicles per day. Can't you see there's something wrong with your brain and reasoning?
 
Before Thika road ipanuliwe ilikuwa inahudumia magari 85k per day sio 60k. That 60k was just estimation before the actual figure was found in 2007.
Okay. I stand corrected. Hawa Malazy wanajaribu kulinganisha barabara zao konde na Thika road babkubwa. Watajua hawajui. Yaani Thika road kabla ifanyiwe expansion tayari ilikuwa inabeba magari mengi kushinda hii barabara yao mpya yenye wanaturingia? Hahaha kweli wako nyuma.
 
# Dar Es Salaam
710B9AFC-CA2A-493E-B60E-92AE954C7DE3.jpeg
2E7712D5-22F9-416E-A2D8-7D4920D222F4.jpeg
74FEDC09-A202-4ED7-A4B8-D056C89108A3.jpeg
 
Tofauti yako wewe na teargas wewe Nicxie: ni fala tu,nmeuliza kufahamu mm sio mkazi Wa Nairobi ,magari yanayopita Ubungo interchange ndio hayo niliotaja takwimu kutoka kwa boss wa tanroad,sasa kama unahisi natafuta pakutokea utakua hujielewi...Kingine mm hua sipendi kubisha bila facts...alivyotoa stat zake hajaona nikibisha
Ulisema "umetupata" in your opening comment. Ulimaanisha nini hapo?
 
Back
Top Bottom