Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ya Ubungo is just three roads zime criss-cross kienyeji tu, no spectacular science there, a diploma polytechinc student can design that bro, kama msalaba hivi., ya pangani is an interchange having a tunnel with two outlets from the tunnel., each country iko na yake unique, uzuri is relative, where patriotism comes into play kaka.
Nimekuelewa sana brother, pesa ni pesa, wewe na Chris Kirubi wote kila mmoja anazo pesa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa kwanini foleni isiwe kubwa kwenye kajiji finyu kama Nairobi? Nairobi is two feet big na ninyi mnavyoishi kwenye cages kwa wingi sehemu ndio the situation being even more difficult and tense, sehemu ambapo watu wa Dar wanaishi 10, Nairobi wanaishi 300 sasa unategemea nini hapo?

Yaani foleni inaanzia getini hata kabla ya kuingia barabarani [emoji28][emoji28][emoji28]
Tupe estatw moja ya middle class dar tuone[emoji23][emoji23]
 
unajua tony kuna kitu unafaa kujifunza, tanzania hatujengi project isipokua kuwepo na sababu ya msingi sana na uhitaj kwa wakat huo nyinyu kenya munajenga vitu bila uhitaji hvi hzo overpass munazojenga kisumu zina faida gani let us be serious mm nilikua kisumu sijawah kuona jam yakusema kua ile overpass imesaidia ni vichekeso 😂😂 ndio maana leo msishangae kuskia 9.2trillion debt
Kwa hivyo umefika Kisumu. Nairobi je?
 
Nimekuelewa sana brother, pesa ni pesa, wewe na Chris Kirubi wote kila mmoja anazo pesa[emoji23][emoji23][emoji23]
This example is far from the comparison, infact one carries more vehicles in a day than the other by far.
 
Hujawahi kuwa na Barbara ya juu subiri huyu tembo mweupe aishe ndo useme una barabara ya juu.
Sorry mate. I can feel your pain
2414040_alldayamar_20200528_3.jpg
1971844_IMG_20190118_192209.jpg
KangundoRaodJUnctiontowardskariobangi2.jpg
Screenshot_20200605-010643~2.png
Screenshot_20200605-004229~2.png
309400FE-3112-42C2-95ED-70975640B5A9.jpeg
 
Huyu dada Teargass ni muongo sn huwa anaokota links lkn ukisoma ndani hakuna kile alichosema, huwa namdaka mara nyingi yn najichosha kusoma lkn kusudio halipo that's why cjasoma alichotuma cz co honest person.

So evidence nnayomuomba ni ile ya wazi a screenshot link atume humu.
Unasema sio honest no hujasona sasa unataka usaidiwe aje? Mbona unapinga kitu ambacho hata hujasoma? Huoni Kama huo ni ujinga?
 
Stupid ni yule anayepinga bila facts
Hazeti limeandika kwamba kabla ya kupanuliwa Thika road ilikua inapitisha gari zaidi ya 60K kwa siku, wakati CEO wa TANROAD amesema kabla ya Ubungo interchange yalikua yanapita magari zaidi ya 68K kwa siku, wewe unataka kubadilisha huo ukweli sio?
 
Hazeti limeandika kwamba kabla ya kupanuliwa Thika road ilikua inapitisha gari zaidi ya 60K kwa siku, wakati CEO wa TANROAD amesema kabla ya Ubungo interchange yalikua yanapita magari zaidi ya 68K kwa siku, wewe unataka kubadilisha huo ukweli sio?
To please a foolish man is to say yes
 
That section of Mombasa road between Gateway mall and Syokimau was designed in a very funny way. In short, upande wa kushoto wa barabara kuna lanes za to and fro, upande wa kulia pia ni vivyo hivyo. It's a bit complex and confusing at the same time. You have to make several turns in order to move from left side of the road to the right side
Ni kenya kweli jamaa hawakuangalia vizuri huenda wangeona vipanya na mbukinya ndo wangeamini...
 
Kwa Malazy wanaodhani kuwa Thika road pekee ndio ina magari mengi basi kuna barabara linaitwa Mombasa road. Hili jitu la barabara lina jam ya kufa mtu. Hii ndio maana tunajenga expressway hapa Mombasa road ili kupanua barabara hata zaidi. Expressway ni kama tu flyover lakini ni ndefu kushinda flyover. Hii picha ni ya Nairobi kwa wale watakaoshangaa kama ni picha ya Afrika.

View attachment 1587481
Hiyo si magari mengi,hiyo ni jam tunaita..stop being lunatic..
 
Kaka Ichoboy, nikuulize, mbona bara bara na interchanges hujengwa? sidhani tu ni kwasababu ya jam pekee, I think ni ku ensure seamless flow ya traffic and saving time, reducing accidents na hiyo jam pia, and that is what Kisumu did., hakuna jam, Eldoret walilala, now is when wanajaribu kujenga bypasses, jam is the order of the day during rush hours in Eldoret, Nakuru na Kisumu walijipanga mapema, though Nakuru bado wana kero la jam at peak hours., Kondele Interchange Kisumu ilitoa jam hiyo section during rash hour., u have no idea kumbe.
NB: Kisumu road infrastracture all the way to Kakamega, then Kitale up to Lodwar heading to South Sudan(inaitwa Kisumu Juba highway-95% complete near South Sudan) ni project ya Kibaki na Raila coalition govt with interchanges at important intersections, from Mamboleo in Kisumu, Chavakali/Eldoret/kapsabet junction in Vihiga county, at Kakameaga/Malaba junction, at Webuye/kitale junction and entry to Kitale., jubilee main project yao Kisumu ni port expansion.,


zinajengwa kutokana na uhitaji sio kujenga tu ovyo mm nimepita njia yakwenda kericho na ile junction ya njia ya kwenda eldoret kuna ki overpass pale ni kuharibu pesa za tax payers sijaona umuhimu hata wa dakika mbili ile overpass kuwepo pale sasa leo hii munashtuka debt kufika 9.2trillion ksh yote kwa sababu munakimbilia kuchukua billions of money kwa sababu ya kujenga vitu havina uhitaji, au ww hujui kama barabara inajengwa kwa umri bro kwann unakua mjinga kias hiki mm kenya nimetemebea sana, sisi hatuwes ingua kwenye mikipo isoyalazima kujenga overpass hata kama sehemu hazihitajiki kwa saaa hio ni akili mbovu bro mark my words,
 
Ya Ubungo is just three roads zime criss-cross kienyeji tu, no spectacular science there, a diploma polytechinc student can design that bro, kama msalaba hivi., ya pangani is an interchange having a tunnel with two outlets from the tunnel., each country iko na yake unique, uzuri is relative, where patriotism comes into play kaka.
kubali kua ubungo ni three level full stop hakuna haja ya kuzunguka huku wala kule
 
Back
Top Bottom