Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inafanyika both ways ..
Martinair Cargo/KLM cargo inatua Kila week kuchukua Holti
Ethiopian airlines pia Cargo plane yao inatua KiA na Mwanza

Tumeweka order ya 767 Cargo jet kwa ajili ya Air Tz ..
Kama mngeanza na cargo planes basi mngekuwa mbali sana ila Magu alinunua passenger jets kwa nia kupiga nazo siasa. Ukweli ni kuwa Watanzania hawapendi kutoka nje ya nchi yao kwa hivyo kununua dreamliner kisha kuipark juu ya mawe ni kuharibu pesa
 
hakuna siasa kwenye ndege bro, na hakuna dreamliner wamepark juu ya mawe tatizo lenu nyinyi hamupendi maendeleo ya tanzania kabisa munaona kama tanzania ni hasimu wenu😂😂 lazima nchi iwe na shirika lenye ndege na yeye ali target sana watalii

haina maana kama kq inakufa basi na sisi tufe hio haitatokea 😃😃😃
 
sasa nitafika vipi kisumu bila kupita nairobi?? wakat mm natokea dar then arusha namanga then nairobi nakuru kericho kisumu , maswali gani unaniuliza ya kipuuzi haya
Wacha ujinga. Nilidhani wewe mwarabu una pesa kwa hivyo ulipanda ndege direct. Kumbe uliamua kutravel kwa siku mbili au tatu ili ufike? Pole kwa uchovu wa safari
 
Kama mngeanza na cargo planes basi mngekuwa mbali sana ila Magu alinunua passenger jets kwa nia kupiga nazo siasa. Ukweli ni kuwa Watanzania hawapendi kutoka nje ya nchi yao kwa hivyo kununua dreamliner kisha kuipark juu ya mawe ni kuharibu pesa
Kwahiyo ndio sababu mnataka kurudisha zile ndege KQ ilizokodi kwa wenyewe, kumbe mlitegemea wakenya ndio wajaze hizo ndege za KQ?
 
Wacha ujinga. Nilidhani wewe mwarabu una pesa kwa hivyo ulipanda ndege direct. Kumbe uliamua kutravel kwa siku mbili au tatu ili ufike? Pole kwa uchovu wa safari
nilitalii kutumia gari langu mwenyewe kutoka dar mpaka kisumu na gharama ya mafuta niliotumia ni sawa na kupanda ndege kutoka dar mpaka kisumu mara 2, napenda sana kutalii kwa kutumia gari

siunaona chuma kama hii nikiamua safari hata south africa mwiba unatoboa 👇👇😂
86C58E97-AF6B-4328-B93F-381509F61B9A.jpeg
68FF986C-62A1-4096-8E7F-B560B5749D21.jpeg
4511B2D7-CA18-43AF-936E-EDD35D03307A.jpeg
04682CD0-F17E-4BA1-970D-BFB27C1FBE55.jpeg
 
hakuna siasa kwenye ndege bro, na hakuna dreamliner wamepark juu ya mawe tatizo lenu nyinyi hamupendi maendeleo ya tanzania kabisa munaona kama tanzania ni hasimu wenu[emoji23][emoji23] lazima nchi iwe na shirika lenye ndege na yeye ali target sana watalii

haina maana kama kq inakufa basi na sisi tufe hio haitatokea [emoji2][emoji2][emoji2]
Ss shirika letu litakufaje wkt cc pekee tunatosha bila kutegemea route za nje.
 
In pictures, Europe indeed! kweli kweli kweli! 😂 😂😂
 
The kicks of a dying horse😂😂, such argument is common to any big city, but Dar outside what is captured hakuna jipya, picha sehemu moja moja gives a deceptive perception,., everything is clear. I can say the same of Nairobi, kuna sehemu natembea nashangaa! But so far, Nairobi Metropolitan is king when it comes to developed area., plus residentials around it, including connecting road network.
The best 007 kiukweli mlikua mumetudanganya deadly na cosmetic pictures., nimechambua kote kote, na zile zote mumetupa humu., 😂😂😂😂
The point you're missing is this... Dar doesn't scream to the world, "I'm this! or that!". But when people in the diaspora happen to get a taste of it, they never wanna leave.

It's not just how massive and clean the city is, but its culture, the people, the language and (of course) the food, its healing energy and and how much the dollar can stretch far and wide. They are surprised to learn, they can afford to live in mansions full of different fruit trees and a walking distance to the beach. And the fact that they can have a "dada wa kazi" and mlinzi, makes the whole experience supa dupa fly, and these are just regular folks.

Lastly, we speak in a soft rhythmic voice, it's very hypnotic to the ear and Tanzanians in general are very polite people. These are few reasons that make our city stands out.
 
The point you're missing is this... Dar doesn't scream, to the world, "I'm this! or that!". But when people in the diaspora happen to get a taste of it, they never wanna leave.

It's not just how massive and clean the city is, but its culture, the people, the language and (of course) the food, its healing energy and and how much the dollar can stretch far and wide. They are surprised to learn, they can afford to live in mansions full of different fruit trees and a walking distance to the beach. And the fact that they can have a "dada wa kazi" and mlinzi, makes the whole experience supa dupa fly, and they are just regular folks.

Lastly, we speak in a soft rhythmic voice, it's very hypnotic to the ear and Tanzanians in general are very polite people. These are few reasons that make our city stands out.
Now you are talking; it makes sense when you invoke cultural stuff, hapa Dar has a real African feel, mengine la hasha, only in your patriotic minds. thank you.
 
The point you're missing is this... Dar doesn't scream, to the world, "I'm this! or that!". But when people in the diaspora happen to get a taste of it, they never wanna leave.

It's not just how massive and clean the city is, but its culture, the people, the language and (of course) the food, its healing energy and and how much the dollar can stretch far and wide. They are surprised to learn, they can afford to live in mansions full of different fruit trees and a walking distance to the beach. And the fact that they can have a "dada wa kazi" and mlinzi, makes the whole experience supa dupa fly, and they are just regular folks.

Lastly, we speak in a soft rhythmic voice, it's very hypnotic to the ear and Tanzanians in general are very polite people. These are few reasons that make our city stands out.
Well said 👏🏽
 
Back
Top Bottom