Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umemaliza mkuu.
 
Best comment.
 
Hio picha inaprove my point kwamba Mombasa ina density ya juu sana. Lia ukipenda ila point yangu inabakia palepale
Kwn tony ww ni mgeni kwa huu uzi auu, mana unapoongea kuhusu density hata Wakenya wenzako wanashangaa na wanaogopa hata kuingilia hyo mada [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Katika watu wajinga hapa sijawahi kuona kama wewe, hujui lolote zaidi ya kupiga domo tu, mbona wewe ni mpumbavu kiasi hiki?.

Hivyo vyuo vikuu vimelimbikiza madeni ya muda mrefu, wewe wacha ujinga wako. Ukimsikiliza huyo muhusika anasema vyuo vya serikali vinadaiwa Billions of Kshs, kutokana na madeni ya muda mrefu, wewe kwa akili yako ya kipumbavu unadhani wanalipa matumizi yao papo kwa papo kila siku, kwahiyo wakifunga vyuo hawana matumizi?.

Hao wanatumia services kama umeme, maji, rents, fuels, na shughuli zao karibu zote kwa kipindi kirefu ndio wanalipa. Ulishawahi kusikia makampuni mbalimbali yanayo supply bidhaa mbalimbali kwa serikali na hawajalipwa kwa zaidi ya miaka mitatu, unadhani hiyo serikali ni nani kama sio pamoja na vyuo vikuu?.

Punguza ujinga wako, hujui lolote zaidi ya kutetea your tribesmen who are failing Kenyans. Hivyo vyuo vikuuehavipewi pesa, vinashindwa kulipa bills zake, suppliers wanashindwa kuendelea kuwapa services jambo ambalo linasababisha kupungua kwa ufanisi wa kuendesha kwa shughuli za vyuo vikuu.
 
Watanzania ni wajinga. Nimepost picha za Nairobi lakini kwa sababu wana roho mbaya na wivu wanajifanya hawajaziona picha. Wajinga sana hawa watu. Kitu kama ni kizuri cha Kenya wananyamaza na kujifanya hawajaiona. Hata sitadebate tena kwenye uzi huu. Nimeelewa kwa nini Wakenya wengine wameipuuza uzi huu. Hapa hata Mkenya akipost jambo lolote nzuri la Kenya maumbwa yatapuuza tu. Adios. Hamutaniona kwenye uzi huu tena. Wivu na utoto sipendi. Eti mtu anatazama picha hizo zote kisha ananyamaza eti kwa sababu ni ya Kenya? Mimi picha ikiwa nzuri ya Tanzania huwa napongeza ila sipendi debate za aina hii ambayo unafiki, wivu na majungu ndio imewekwa mbele. Kila Mtanzania anajaribu kupuuza mazuri ya Kenya kila kitu ni kibaya. Yaani hakuna jambo lolote nzuri linalofanyika Kenya. Adios
 
Hizo picha zilishawekwa hapa zaidi ya mara 100. So leta kitu kipya tutashituka. 🤣 🤣 🤣
 
Usilie sasa, mbona hivyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…