Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unique architectural designs.
941EE295-F1AD-4B3C-9522-6E68DD75262F.jpeg
31B18A74-42AB-42B5-B66B-3B3D1807AF7C.jpeg
 
[SUB]Kwa Dodoma avocado haitafanya vizuri kabisa kutokana na hali ya hewa ya ukame, ila maeneo yanayofaa ni haya In Tanzania, the prominent avocado producing areas are in the regions of Mbeya, Njombe, Songwe and Iringa in the southwest, as well as in Kilimanjaro, Arusha and Tanga in the northeast of the country. The other regions are Kigoma and Kagera in the northwest, and Morogoro in the east of Tanzania.[/SUB]
Mkuu hata baadhi ya Sehemu za Mkoa wa Mara-Tarime,na Nyamongo.
 
Otesha parachichi mkuu,

Kitu nilichoguandua ni kuwa ardhi ya Dodoma ni nzuri kwa mazao mabalimbali,

Ardhi ni ya mchanga lakini ina rutuba nzuri,

Au gawa hilo shamba, upande mmoja parachichi halafu mwingine zabibu.
Ukiwa unaeza kupata maji ,parachichi haina shida, ingawa pia hupenda kivuli.
 
Waafrika ni watu wa kufanya mambo pasipo kuangalia historia, we kila siku midege ya kenya inadondoka hata hv karibuni midege c chini ya mi4 imedondoka lkn bado mtu anakwenda kukodi huko huko kisa kuna 10% wacha wafe tu pumbavu.
Wakuu mie niseme tuu hichi kitu kimenipa hofu kubwa sana,Rais wetu Kutumia chopa ni hatari sna,tunaeza tukafanyiwa hujuma ya ajabu itakayosononesha mioyo yetu vizazi na vizazi...tena machopa ya Nchi Jirani yana historia chafu..Angalia kifo cha Saitoti,,huku kwetu iliua Filikunjombe...Nasari Alinusurika,ya Ruto ilipata Itilafu.......wakuu Tukumbuke Mkapa amepumzika Na Baba Pekee ni JPM.
 
Tunasogea kwa nguvu zote.

Asante Sana wapambanaji wenzangu kutoka Njombe,Kilolo na Mbeya juhudi zetu sasa zinaanza kuzaa matunda.
Green gold Bado ina potential Sana maeneo ya Morogoro Kusini/Mahenge na Malinyi,Rukwa na baadhi ya Wilaya za Kigoma ,wanaotaka kuanzisha kilimo biashara fursa ni hii hapa
 
Hivi kwanini tusijenge njia mbili (double truck SGR), hivi kwanini tusijenge "BRT + Light railway na underground metro hapa Far?, hivi kwanini tusijenge daraja kubwa pale Jangwani ili tumalize ile Shida ya mafuriko pale Jangwani?, hivi kwanini tusijenge njia 4 toka Dar hadi Arusha na kutoka Dar hadi Mbeya?, au hiyo sio miundombinu muhimu?
As for express way ya 4 lanes Ina make sense kutoka Dar Hadi Tunduma be it toll road or otherwise maana huku Kuna cargo ya kuzidi na Tazara haieleweki
 
As for express way ya 4 lanes Ina make sense kutoka Dar Hadi Tunduma be it toll road or otherwise maana huku Kuna cargo ya kuzidi na Tazara haieleweki
Lengo langu ni kuonyesha kwamba mahitaji ni mengi kuliko uwezo kwasasa, lazima tujifunze kuchagua na kutoa vipaumbele kutokana na Economic benefit yake kwa siku za karibu kabla hatujaanza na miradi ya muda mrefu, lazima tuanze na njia ambazo zitarejesha haraka pesa ili tuwekeze kwenye miondombinu kwa ajili ya siku zijazo.
 
gesi asilia ndo mtambo gani huo na utakuwa wapi....? Hapo wamejimix waandikaji.nahisi walimianiisha wa Somanga ..

Kuna plans bado za Kinyerezi 3 na 4 sikuwa na jua ..kama itaendelea kujengwa..imo we dont need them kwa sasa ...
Rusumo will add 27MW to @ country
JNHPP 2115 MW ...
Kinyerezi 1 extension 185mW making a total of 335MW in kinyerezi 1

That is enough ..use the money in finishing the rail and improving ports,roads etc ...

NB kwa sasa means in Next 5 yrs we shouldnt build any new power plant project and leave them for another coming president ..
 
Dar -Tunduma 900km
Hata iwe km 1,000,000 hii ni moja ya barabara kubwa na iliyo busy kuliko barabara kuu zote za Tzn,kama wako kwenye mpano wa kujenga njia sita hadi chalinze then njia 4 hadi Dom hapa kunashindikana nini?
 
ukiwa unapost vitu vyako shirikisha na ubongo pia...huwez kujenga highway ya 900km wakati Bado barabara nyingi bado hazina lami...uwezo Huo bado
 
Kwani parachichi zinaota maeneo yenye joto kama Dodoma?
Dodoma sio jangwa wala semi arid kiviile ndio maana miti inakubali sana tu ,ardhi ina maji mengi chini na kiasili ni kama bonde lililokuwa linatuamisha Maji na kuna maozea mengi kwa hiyo mchanga uko juu juu ila chini ni udgongo.
Alafu Dododa hakuna joto la kihivyo kama ukanda wa Pwani so wewe otesha sema ladha ndio inaweza kuwa tofauti kutoka eneo na eneo.Parachichi la Nyanda za juu kusini au la ukanda wa baridi litakuwa tofauti na la ukanda wa joto la kati kama huko Dom.Hushangai Korosho tulizoea inalimwa Pwani lakini saizi hadi Tabora tunaotesha na mikorosho inastawi bila tatizo
 
ukiwa unapost vitu vyako shirikisha na ubongo pia...huwez kujenga highway ya 900km wakati Bado barabara nyingi bado hazina lami...uwezo Huo bado
Ukianza na hizo logic utalazimika kujibu kwa nini kujenga kidaraja cha kukatiza km moja ziwani kwa bln 700 wakati kuna barabara nyingi kuu za mkoa na mkoa bado.Je waliojenga walishirikisha ubongo au kitu gani? Itabidi uulize na miradi mingi ya dizaini hiyo.
 
Dodoma sio jangwa wala semi arid kiviile ndio maana miti inakubali sana tu ,ardhi ina maji mengi chini na kiasili ni kama bonde lililokuwa linatuamisha Maji na kuna maozea mengi kwa hiyo mchanga uko juu juu ila chini ni udgongo.
Alafu Dododa hakuna joto la kihivyo kama ukanda wa Pwani so wewe otesha sema ladha ndio inaweza kuwa tofauti kutoka eneo na eneo.Parachichi la Nyanda za juu kusini au la ukanda wa baridi litakuwa tofauti na la ukanda wa joto la kati kama huko Dom.Hushangai Korosho tulizoea inalimwa Pwani lakini saizi hadi Tabora tunaotesha na mikorosho inastawi bila tatizo
Hiyo ladha ndio ubora wa parachichi ulipo
 
Back
Top Bottom