joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Aisee, hii nchi vipi?Heheh
"Ali-fume" piece ngapi hapa?
Aisee, hii nchi vipi?Heheh
"Ali-fume" piece ngapi hapa?
Hadharani DP anakoromewa na President akitoka hapo Ruto anaenda Rift Valley anawanong'oneza kitu then kesho kinalipuka Wakalenjin wanafukuza Wakikuyu!Aisee, hii nchi vipi?
Hawezi akatumia chopper, itakuwa ni ya team yake ya kampeni. Yeye atapiga kampeni kwa njia ya barabara kama 2015.Hivi kuna usalama kweli kwa JPM kutumia chopper registered in Kunyaland ilhali hatuna mahusiano nao mazuri?
MY TAKE
CCM waache ujinga wa kukodi chopper toka Kunyaland!
kwanini wakodi chopper Kunyaland? kwani hamna kampuni za chopper Bongo?Hawezi akatumia chopper, itakuwa ni ya team yake ya kampeni. Yeye atapiga kampeni kwa njia ya barabara kama 2015.
Bado wanatetea Ngugi wa Thiong'o kuhutubia huko Catalonia kwa lugha ya Gikuyu, nchi yenyewe imegawanyika mafungu mafungu ya kikabila hii.Hadharani DP anakoromewa na President akitoka hapo Ruto anaenda Rift Valley anawanong'oneza kitu then kesho kinalipuka Wakalenjin wanafukuza Wakikuyu!
Haya machopa yanadondoka kama udongo, moja ndio lilimuua Deo Filikunjombe 2015, hayaaminiki kabisa haya.Hivi kuna usalama kweli kwa JPM kutumia chopper registered in Kunyaland ilhali hatuna mahusiano nao mazuri?
MY TAKE
CCM waache ujinga wa kukodi chopper toka Kunyaland!
Waafrika ni watu wa kufanya mambo pasipo kuangalia historia, we kila siku midege ya kenya inadondoka hata hv karibuni midege c chini ya mi4 imedondoka lkn bado mtu anakwenda kukodi huko huko kisa kuna 10% wacha wafe tu pumbavu.Haya machopa yanadondoka kama udongo, moja ndio lilimuua Deo Filikunjombe 2015, hayaaminiki kabisa haya.
Hiyo reli ni muhimu Sana kwa utalii na kuvuna magadi soda engaruka basin,ukiacha mizigo ya UgandaWewe ndo unaona havina faida ila faida ipo tu hata kama sio kwa mizigo hata kwa watu pia kutakuwa na faida
Hivi kuna usalama kweli kwa JPM kutumia chopper registered in Kunyaland ilhali hatuna mahusiano nao mazuri?
MY TAKE
CCM waache ujinga wa kukodi chopper toka Kunyaland!
Geza bana,Kuna tani za kutosha za magadi soda engaruka basin,Kuna utalii wa kuzidi wa adventure kwenye hiyo reli na Kuna mizigo ya Uganda,Arusha nk.Pia Bandari ya Musoma naturally location yake ni nzuri kuliko ya Mwanza na pia kutoka Musoma to portbell ni jirani kuliko kutokea Mwanza usiwe mbishi na tutaijenga upembuzi uliisha ..Central corridor inalenga western Uganda na Eastern DRC wakati hii ya Musoma ni Kampala to Juba South SudanNichosema mimi fedha za serikali zisiingizwe kwenye miradi ya tembo mweupe! SGR Tanga-Arusha-Musoma is of no importance were SGR central corridor exists!
Huo mti umeshazaa matunda,Kuota ni tofauti na kuzaa, hali ya hewa ina athari zaidi katika kuzaa kuliko kuota.
Tazara ilijengwa kusiasa ndio hata WB walikataa kutoa pesa maana haikuwa na faida kwa kipindi kile na hata sasa bado ina struggleMbona serikali ilishindwa na kulazimika kutafuta wawekezaji?, mbona TAZARA inasuasua waditafute hizo behewa kama za Rovos?, haya mambo yanahitaji kujipanga sio kama unavyofikiria. Kila mtu anapenda kutengeneza faida, ukiona muwekezaji ameikimbia hiyo njia, lazima ujiulize kama kweli hiyo njia kuna faida.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hii haihitaji commitment ya Uganda ni suala tu la kufikisha reli Musoma,upande wa Pili tayari Kuna bandari zinazofanya kazi na ferry wagons za Mwanza zitahamia huku ikiwa sgrHawawezi kukujibu bila commitment ya Uganda kwenye hii reli sioni umuhimu wake namshauri JPM asiingie mkenge kwenye hii project!
Labda wameona gharama ni ndogo. Lakini nina uhakika JPM hawezi kuzitumia wakati kuna chopper za jeshi za high quality ni kiasi cha kuzibrand tu zikawa na nembo na rangi za CCM.kwanini wakodi chopper Kunyaland? kwani hamna kampuni za chopper Bongo?
Hakuna haja ya mkopo pesa ya gas na bomba la mafuta kwenda Uganda inatosha kuimaliza hiyo reli fasta.Wadau mawazo yenu yote ni mazuri..sana
Kuna pande wanayoona SGR sio economical viable in 10yrs time we have to wait and see na wengne wanona ijengewe hata sasa hivi....
Mimi naheshimu mawazo yote...
Ila mshawaza mnataka reli ifike musoma kwa sababu gani ?..kusafirisha watu cause ya tourism..na in country bussiness au as alternative to Central corridor
Port ya Tanga ni ndogo sana kwa Dar..kama unataka SGR ambayo itacost 4bn usd + huo ni uhakika..lazima pia uandae na 600mil usd ya berth nyngne 2 Tanga...je kuna umuhimu huo sa hizi..wakati hata hakuna barabara za wilaya to wilaya...za lami hazijaisha ..SGR ya central haijaisha ..na tunamikopo ya ku service ya sector mbali mbali ..Dar Port yenyewe haijafikia Mombasa kwa number ya Berths ..kwanii tuspianue Dar port kwa kujenga super berths hata tano mpya..najua kuna plan ya kujenga berth mpya mbil for 600mil usd..ukiachana na hii plan ya expansion...kwa kuweka hivi na maanisha tuna sehemu nyngne ambazo tumeanza tunahitaji tumalizie kwa nguvu na si kufanya nusu nusu
Mimi nnachoona kama ni PPP kama Great jay alivyosema basi ni heri na waanze hata keshoo..ila kama ni GOT basi au hata mkopo commercial sio WB au AFDB isubiri kwanza ...
kuna sehemu nying kuna gaps bado
1.SGR kukamilika Central na kukamlika kwa JNHPP hii itakuwa ndani ya next 5 years -8yrs kwa SGR ..na JNHPP in next 4 yrs mambo ya kienda vizuri
2.Tuanze wenyewe ku mine Chuma chetu hii itasaida hata kupunguza import wa vyuma vya ujenzi wa hyo hyo SGR
3.ATC yenyewe mm navyoona bado haiendeshwi tu standards nzuri maybe cause ya Covid but bado...zile dreamliner inabidi zisiwe zinalala lala yani ni kazi kwa kazi lets see after covid na in next 5 yrs na hapo imecost goverment around 700mil usd ..it need s more stability
4.Bado reli kuunga DRC we need around 4 wagon ferries for DRC and 4 wagon ferries for Uganda for SGR kwenda vizuri ..DRC ni soko kubwa sana kwa SGR ...watu na vitu..na ni taifa kubwa
5.Social services of course so far speed ni nzuri hasa kwa health services na appreciate..ila we need better equipped primary schools na secondary ku imrpove standard za elimu hasa elimu ya kutengeneza vitu na elimu ya kujiajiri.
6 .Serikali pia inabidi ijenge nyumba za gharama nafuu kwa wananchi..kwenye mikoa mbali mbali inafanyika na NHC ila sio gharama nafuu kwa wanachi wa kipato cha chini sana
By saying all that am against GOT kuchukua mkopo au kutumia Tax kujenga Tanga wakati hizo project juu hazijaisha...ila kama ni PPP sawa amabyo goveremnt itapewa reli after X no of years
Sijaona project kubwa mpka sasa ya PPP na govt of Tz ..lets see kama hyo itakuwa ya kwanza
wacha we yaani helicopter za jeshi zitumike kwenye kampeni? CCM inashindwa kununua yake? Mbona kuna makampuni mengi ya kukodisha helicopter! esp. zile za tourism and mining services!Labda wameona gharama ni ndogo. Lakini nina uhakika JPM hawezi kuzitumia wakati kuna chopper za jeshi za high quality ni kiasi cha kuzibrand tu zikawa na nembo na rangi za CCM.
Hizi za Central Corridor Tanzania na RVR kule Kenya, mbona nazo zote zilikufa, au nazo pia zilijengwa kisiasa?Tazara ilijengwa kusiasa ndio hata WB walikataa kutoa pesa maana haikuwa na faida kwa kipindi kile na hata sasa bado ina struggle
Hio soda ash si hamtaki tichimbe kwa sababu za uharibifu wa mazingira?Hakuna haja ya mkopo pesa ya gas na bomba la mafuta kwenda Uganda inatosha kuimaliza hiyo reli fasta.
Afu faida yake sio utalii tu nimekwambia Kuna maelfu ya tani za magadi Soda pale engaruka na Viwanda vya Arusha afu wewe huoni mzigo wa Uganda na South Sudan utahama kutoka central corridor kuja Tanga-Musoma? Hiyo she ya Central corridor mkomae na Western Uganda kwenye mafuta na madini mengine na DRC na Rwanda na Burundi.Iwe ni ppp au otherwise hii sgr lazima ijengwe