Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

gesi asilia ndo mtambo gani huo na utakuwa wapi....? Hapo wamejimix waandikaji.nahisi walimianiisha wa Somanga ..

Kuna plans bado za Kinyerezi 3 na 4 sikuwa na jua ..kama itaendelea kujengwa..imo we dont need them kwa sasa ...
Rusumo will add 27MW to @ country
JNHPP 2115 MW ...
Kinyerezi 1 extension 185mW making a total of 335MW in kinyerezi 1

That is enough ..use the money in finishing the rail and improving ports,roads etc ...

NB kwa sasa means in Next 5 yrs we shouldnt build any new power plant project and leave them for another coming president ..
Wana mpango wa kuuza umeme
 
Hata iwe km 1,000,000 hii ni moja ya barabara kubwa na iliyo busy kuliko barabara kuu zote za Tzn,kama wako kwenye mpano wa kujenga njia sita hadi chalinze then njia 4 hadi Dom hapa kunashindikana nini?
Kwa suala la kusafirisha mizigo kwa umbali mrefu kama huo wa kilomita 900+ mi naona ni bora kuboresha reli ya TAZARA japo kwa upande wa Tanzania. Reli ndio usafiri mzuri wa kuchukua mizingo mingi na kwa bei nafuu. Siona Tatizo na reli ya TAZARA kuboreshwa au hata kuwa electrified kwa lengo la kusafirisha mizigo kwa haraka zaidi. Na pia nadhani ifike mahali kila nchi iendeshe reli yake yenyewe ( Tanzania iendeshe kipande chake na Zambia pia iendeshe kipande chake) ili kupunguza urasimu katika kufanya maamuzi ya kuendeshaji wa hii reli.

Barabara ya Dar-Dom inapanuliwa kwa sababu ya trafic kati ya Dar na Dom itakuwa kubwa hasa baada ya serikali kuhamia Dodoma. Otherwise kwa mizigo ndio maana tunajenga sgr.
 
Ukianza na hizo logic utalazimika kujibu kwa nini kujenga kidaraja cha kukatiza km moja ziwani kwa bln 700 wakati kuna barabara nyingi kuu za mkoa na mkoa bado.Je waliojenga walishirikisha ubongo au kitu gani? Itabidi uulize na miradi mingi ya dizaini hiyo.
Rudi kwenye hoja yako ya msingi kabla hujahamia mwanza...
Iyo barabara nmeitumia mara kadhaa...ukishatoka DAR hadi Chalinze foleni ndio imeisha...kidogo ukiwa unakaribia Moro mjini na ukishatoka hapo unatembea hadi mbeya bila shida...Ingekua vyema waanze kutanua walau 50km kutoka na kuingia katika miji yote pia itakua vyema
 
nairobi itasubiri sana Edward Wanjala 👇

35CCEE9B-D103-4941-90AE-0D90F250A170.jpeg
DA6B2261-7F79-46E8-8FB9-6DB3DCB646BE.jpeg
24476F04-F2BC-4D20-97B9-C8BFCAAC447A.jpeg
 
Rudi kwenye hoja yako ya msingi kabla hujahamia mwanza...
Iyo barabara nmeitumia mara kadhaa...ukishatoka DAR hadi Chalinze foleni ndio imeisha...kidogo ukiwa unakaribia Moro mjini na ukishatoka hapo unatembea hadi mbeya bila shida...Ingekua vyema waanze kutanua walau 50km kutoka na kuingia katika miji yote pia itakua vyema
Inatakiwa ijengwe kwa phases hasa kipande Cha Mbeya-Tunduma na Makambako-Mbeya
 
Kwa suala la kusafirisha mizigo kwa umbali mrefu kama huo wa kilomita 900+ mi naona ni bora kuboresha reli ya TAZARA japo kwa upande wa Tanzania. Reli ndio usafiri mzuri wa kuchukua mizingo mingi na kwa bei nafuu. Siona Tatizo na reli ya TAZARA kuboreshwa au hata kuwa electrified kwa lengo la kusafirisha mizigo kwa haraka zaidi. Na pia nadhani ifike mahali kila nchi iendeshe reli yake yenyewe ( Tanzania iendeshe kipande chake na Zambia pia iendeshe kipande chake) ili kupunguza urasimu katika kufanya maamuzi ya kuendeshaji wa hii reli.

Barabara ya Dar-Dom inapanuliwa kwa sababu ya trafic kati ya Dar na Dom itakuwa kubwa hasa baada ya serikali kuhamia Dodoma. Otherwise kwa mizigo ndio maana tunajenga sgr.
Kama ishu ni reli kwa Nini licha ya kuwepo Tazara ukanda huu tena iko kwenye Hali nzuri kimiundombinu lakini bado mzigo zaidi ya 70% unapita kwa njia ya barabara na kuifanya hii route kuwa busy kuliko route yoyote kwa sasa hapa Bongo.
 
Wakuu mie niseme tuu hichi kitu kimenipa hofu kubwa sana,Rais wetu Kutumia chopa ni hatari sna,tunaeza tukafanyiwa hujuma ya ajabu itakayosononesha mioyo yetu vizazi na vizazi...tena machopa ya Nchi Jirani yana historia chafu..Angalia kifo cha Saitoti,,huku kwetu iliua Filikunjombe...Nasari Alinusurika,ya Ruto ilipata Itilafu.......wakuu Tukumbuke Mkapa amepumzika Na Baba Pekee ni JPM.
Hilo Likitu Magufuli Hapandi Never
Na Akihitaji kupanda hatopanda hilo
 
Wana mpango wa kuuza umeme
Yeah plan nzuri hio .. Ila ni Tricky business as Zambia wanajenga ,,Kenya wana surplus ,Uganda wana surplus ..kutakuwa na interconnected grids..anayehitaji Umeme kwa sana ni SA amabyo anashida na blackouts sijajua kama connection ya grid itafika SA ..lets wait and see ila hayo ni maoni yangu..Stiglers will cost USD 3bn itatupa surplus hata miaka 8-10 ijayo na wakuuza utakuepo ....
Presently we have 1625
+2115 + 185+27=3927MW ..in coming 3yrs

Assuming hatuja sign Coal project ya mchuchuma 600Mw which may add 200Mw to 300mW in the grid ..na nyingne kutumika Liganga
Sijaweka private wind and solar projects which may add 100MW @ if developed in coming 5yrs

Lets see tho
 
Rudi kwenye hoja yako ya msingi kabla hujahamia mwanza...
Iyo barabara nmeitumia mara kadhaa...ukishatoka DAR hadi Chalinze foleni ndio imeisha...kidogo ukiwa unakaribia Moro mjini na ukishatoka hapo unatembea hadi mbeya bila shida...Ingekua vyema waanze kutanua walau 50km kutoka na kuingia katika miji yote pia itakua vyema

Wawaombe yapiray mitambo yao ya mahandaki wahitumie kuchonga moja hapo kitonga. Huo mlima nao unachelewesha mizigo na abiria na pia lita punguza ajali sana tu.
 
Wawaombe yapiray mitambo yao ya mahandaki wahitumie kuchonga moja hapo kitonga. Huo mlima nao unachelewesha mizigo na abiria na pia lita punguza ajali sana tu.
Wazo zuri sana hili, tena mkurugenzi wa Tanroad ni wa mkoa huo, hivyo anaelewa vizuri changamoto hizo.
 
Back
Top Bottom