Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,720
- 107,165
Yaani wako na mixed feelings 😅😅Umejibu vzr sn [emoji3][emoji3][emoji3]
Roho inawauma kwavile wamjua Lokichar-Lamu is not bankable! Option iliyopo ni kubeba na tankers! Wasijaribu kujenga kwa fedha zao kama the $400mln LAPSSET 3 berths ambazo mwaka wa 9 hazijaisha!
Waganda wanafagilia deal! Kunyans hawana jinsi!heheh kisu kishawafika shingoni 😂😂😂
wanajitia ujuaji sana 😂😂 kwamba hujiona wao wanaakili sana kuliko binaadam wengineWaganga wanafagilia deal! Kunyans hawana jinsi!
akili zao hizi za kujitamba ujinga huku wakichezwa? Wabaki nazo na ziongezeke...wanajitia ujuaji sana 😂😂 kwamba hujiona wao wanaakili sana kuliko binaadam wengine
Hivi avocado inaweza kukubali kwenye ardhi ya dodoma?
[SUB]Kwa Dodoma avocado haitafanya vizuri kabisa kutokana na hali ya hewa ya ukame, ila maeneo yanayofaa ni haya 👉🏿 In Tanzania, the prominent avocado producing areas are in the regions of Mbeya, Njombe, Songwe and Iringa in the southwest, as well as in Kilimanjaro, Arusha and Tanga in the northeast of the country. The other regions are Kigoma and Kagera in the northwest, and Morogoro in the east of Tanzania.[/SUB]Hivi avocado inaweza kukubali kwenye ardhi ya dodoma?
Huo ndio ukweli wenyewe,maana tukikaa nao chemba huko ni kumsifia tuUmejibu vzr sn [emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna heka 4 maeneo,watu wanashauri zabibu 😀Ndio.
Tena mkuu nakujibu kupitia mfano hai kwa kutumia huu mti mmoja [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1575164
Kwani parachichi zinaota maeneo yenye joto kama Dodoma?Otesha parachichi mkuu,
Kitu nilichoguandua ni kuwa ardhi ya Dodoma ni nzuri kwa mazao mabalimbali,
Ardhi ni ya mchanga lakini ina rutuba nzuri,
Au gawa hilo shamba, upande mmoja parachichi halafu mwingine zabibu.
Ndio,Kwani parachichi zinaota maeneo yenye joto kama Dodoma?
Kuota ni tofauti na kuzaa, hali ya hewa ina athari zaidi katika kuzaa kuliko kuota.Ndio,
Mfano hai ni hiyo picha ya mti wa parachichi niliyopost.
Hii imegeuka kuwa bwawa la vyura ikingoja landslide