Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapana hapaswi kuchanganya kipindi hiki, ndio sababu hatumii gari za State house pamoja na kwamba ni rais.

Alipokwenda jana kufungua mahakana ndio alikwenda kama rais ndio sababu alitumia gari za Ikulu, akitumia gari za ikulu ni rais wa wote hapaswi kuvaa sare za CCM, hapo ndio anaweza kufanya majukumu ya urais.

Magufuli anakurupuka mara nyingi sana anajikuta akifanya makosa mengi Sana. Hawa akina Lisu na kusoma sheria lakini wanashindwa kumbana.
si ndo maana ninasema anapopiga simu kuamrisha fedha ziletwe na waziri kujenga barabara wakati akikampeni ni rushwa!
 
Screenshot_2020-09-20 Search For Uhuru.png


Nilikuwa naangalia mazungumzo mubashara kati ya Tiffany (Dar es salaam) na Daynast (Nigeria). Hawa ni wamarekani wanaoishi Afrika, tofauti ya speed ya internet baina ya nchi hizi mbili inadhihirika kwenye picha.
 
si ndo maana ninasema anapopiga simu kuamrisha fedha ziletwe na waziri kujenga barabara wakati akikampeni ni rushwa!
Kweli kabisa, ninashangaa hawa akina Halima Mdee, Tundu Lissu na Mnyika wanaojisifu ni wanasheria hiyo elimu yao ya sheria wanaitumiaje, kosa la wazi kabisa hili.
 
Back
Top Bottom