Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio soda ash si hamtaki tichimbe kwa sababu za uharibifu wa mazingira?
Wanakojenga bwawa la Nyerere pia wanaharibu mazingira Ila bwawa linajengwa,hizo ni hadithi madini yatachimbwa na ndio target ya she hii among other things
 
Hizi za Central Corridor Tanzania na RVR kule Kenya, mbona nazo zote zilikufa, au nazo pia zilijengwa kisiasa?
Wakati wapo waliozijenga zilikuwa productive maana walizijenga kwa malengo maalum maana walikuwa na miradi yao lukuki maeneo zilimopita kuanzia madini Hadi mashamba,walivyotoka na ujamaa kuja kila kitu kiliyumba Kama sio Kufa kabisa,kwa sasa angalau uchumi wa maeneo unaanza kuwepo kwa hiyo unafuu upo kidogo
 
Wakati wapo waliozijenga zilikuwa productive maana walizijenga kwa malengo maalum maana walikuwa na miradi yao lukuki maeneo zilimopita kuanzia madini Hadi mashamba,walivyotoka na ujamaa kuja kila kitu kiliyumba Kama sio Kufa kabisa,kwa sasa angalau uchumi wa maeneo unaanza kuwepo kwa hiyo unafuu upo kidogo
Unalaumu ujamaa, mbona ile ya Kenya kwenda Uganda ndio iliyotangulia kufa?.

Hii inakuonyesha kwamba, biashara ni biashara, hakuna reli iliyojengwa kisiasa wa sera za uchumi kuhusika katika ufanisi wa hizi reli, Tanzania na Kenya ni ujamaa na ubepari lakini wote reli ziliwashinda

Tatizo kubwa ni kupungua kwa mizigo, kumbuka kwamba wakoloni walikua wanatumia Afrika kwa ajili ya kukusanya malighafi kutoka Afrika, Pamba, kahawa, mbao, katani, chai, meno ya tembo, wanyama, walianzisha mashamba makubwa sana, walipoondoka mashamba mengi yalikufa na uzalishaji kupungua Sana, reli zikakosa mizigo ya kutosha.
 
Geza bana,Kuna tani za kutosha za magadi soda engaruka basin,Kuna utalii wa kuzidi wa adventure kwenye hiyo reli na Kuna mizigo ya Uganda,Arusha nk.Pia Bandari ya Musoma naturally location yake ni nzuri kuliko ya Mwanza na pia kutoka Musoma to portbell ni jirani kuliko kutokea Mwanza usiwe mbishi na tutaijenga upembuzi uliisha ..Central corridor inalenga western Uganda na Eastern DRC wakati hii ya Musoma ni Kampala to Juba South Sudan
Hata Bomba la Mafuta kutoka Hoima Uganda pia kama technolojia ingekuwa inaruhusu basi lingepitishwa ziwani na kuibukia Musoma (Mara)-Arusha-Kilimanjaro then Tanga (the shortest route).
 
Hivi kuna usalama kweli kwa JPM kutumia chopper registered in Kunyaland ilhali hatuna mahusiano nao mazuri?



MY TAKE
CCM waache ujinga wa kukodi chopper toka Kunyaland!

Hii chopper haina viwango vya kutumiwa na Rais, Rais hutumia chopper za jeshi tu.
 
Hii chopper haina viwango vya kutumiwa na Rais, Rais hutumia chopper za jeshi tu.
sheria za Uchaguzi haziruhusu kutumia vyombo vya dola kwenye kampeni! Hata JPM anapoamuru fedha zipelekewe kwenye sehemu kujenga barabara kama leo Uvinza alipompigia Jafo ni kuvunja sheria za Uchaguzi ile ni rushwa! kama mzee wa ubwabwa kaonywa na Magufuli anapaswa kuonywa pia!
 
sheria za Uchaguzi haziruhusu kutumia vyombo vya dola kwenye kampeni! Hata JPm anapoamuru fedha zipelekewe kwenye sehemu kujenga barabara kama leo Uvinza alipompigia Jafo ni kuvunja sheria za Uchaguzi ile ni rushwa! kama mzee wa ubwabwa kaonywa na Magufuli anapaswa kuonywa pia!
lakini kumbuka bado ni rais
 
sheria za Uchaguzi haziruhusu kutumia vyombo vya dola kwenye kampeni! Hata JPm anapoamuru fedha zipelekewe kwenye sehemu kujenga barabara kama leo Uvinza alipompigia Jafo ni kuvunja sheria za Uchaguzi ile ni rushwa! kama mzee wa ubwabwa kaonywa na Magufuli anapaswa kuonywa pia!
Pamoja na hivyo ila hii chopper bado siamini kama Rais atapanda, itatumiwa na viongozi wengine ila hutomuona Magu akiipanda na sijui kwanini wameenda kukodi Kenya wakati ndio nchi inayoongoza kwa ajali za vyombo vya anga
 
EiVWDctWoAAkn_6
 
Labda wameona gharama ni ndogo. Lakini nina uhakika JPM hawezi kuzitumia wakati kuna chopper za jeshi za high quality ni kiasi cha kuzibrand tu zikawa na nembo na rangi za CCM.
Zile ni za serikali mkuu hawawezi kutumia na wakitumia itakuwa kosa kubwa sana.
 
lakini kumbuka bado ni rais
Hapana hapaswi kuchanganya kipindi hiki, ndio sababu hatumii gari za State house pamoja na kwamba ni rais.

Alipokwenda jana kufungua mahakana ndio alikwenda kama rais ndio sababu alitumia gari za Ikulu, akitumia gari za ikulu ni rais wa wote hapaswi kuvaa sare za CCM, hapo ndio anaweza kufanya majukumu ya urais.

Magufuli anakurupuka mara nyingi sana anajikuta akifanya makosa mengi Sana. Hawa akina Lisu na kusoma sheria lakini wanashindwa kumbana.
 
Back
Top Bottom