Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mbona mnalazimisha vitu havina faida? fedha ziko wapi kufanya mnayotaka kwa wakati mmoja? Hebu niambie why Tanga-Arusha-Mara SGR is so important in comparison to Rwanda-Isaka SGR or Mtwara-Mbamba Bay while we know what is to be served by Tanga-Arusha-Musoma SGR can be served by Dar-Mwanza n Tanga-Arusha MGR! Yaani tuache strategic projects kama za kuunganisha Uganda kupitia reli ya Isaka-Keza-Kigali kwa umbali mfupi tujenge njia mpya all the way toka Tanga mpaka Musoma!?

nipe visible economic facts!

19885_tn_africa-dikkm-railway-map_03.jpg

kwangu mimi ni bora kuinganisha Tanga port na reli toka Dodoma au Shinyanga kuliko hiyo project mnayolazimisha maana mizigo itapitia lake Victoria na kwenye maji distance trajectory haina limits!
Wewe ndo unaona havina faida ila faida ipo tu hata kama sio kwa mizigo hata kwa watu pia kutakuwa na faida
 
Wanajiuliza kwanini iwe Tanga-Arusha-Musoma tena SGR
Geza Usipende kuona mawazo yako kama final ruhusu mawazo mengine hakuna kilicholazimishwa kujusu sgr ya musoma na kasome ilani ya ccm utaona wachana na miaka 10 unayowaza in next 5 years wanataka iwe imeanza kazi na mwaka jana kuna fununu trc wenyewe waliachia mtandaoni to spend one usd billion kwenye project ntakuletea link hapa its mean ni kitu kiko on track
Impact za uchumi wa sgr ya tanga to musoma ni kubwa kuliko ku revampe mgr ya sasa Kama hujui omba kueleweshwa
Usionge mambo sijui ya tumieni hiyo iliyopo hujui niko pande gan ya tz na nnafaidika na project gn ya gvt hata kama ni tasaf ila linapokuja swala la nchi angalia kwa upana kwani kureduce tu time to travel btn dar na arusha na musoma maana itaunganishwa na central line huo ndio uchumi wa kisasa
Tusipoteze muda kueleweshana muda ni jibu zurii assure you in next 3 year Tanga arusha musoma sgr itakuwa in implemention stage mkuu
Ujue kwa jinsi nilivyotathimini naona kama vile kuna kaubaguzi fulani hivi.ila huyo atakuwa ameshaelewa kwa maelezo yako
 
Geza Usipende kuona mawazo yako kama final ruhusu mawazo mengine hakuna kilicholazimishwa kujusu sgr ya musoma na kasome ilani ya ccm utaona wachana na miaka 10 unayowaza in next 5 years wanataka iwe imeanza kazi na mwaka jana kuna fununu trc wenyewe waliachia mtandaoni to spend one usd billion kwenye project ntakuletea link hapa its mean ni kitu kiko on track
Impact za uchumi wa sgr ya tanga to musoma ni kubwa kuliko ku revampe mgr ya sasa Kama hujui omba kueleweshwa
Usionge mambo sijui ya tumieni hiyo iliyopo hujui niko pande gan ya tz na nnafaidika na project gn ya gvt hata kama ni tasaf ila linapokuja swala la nchi angalia kwa upana kwani kureduce tu time to travel btn dar na arusha na musoma maana itaunganishwa na central line huo ndio uchumi wa kisasa
Tusipoteze muda kueleweshana muda ni jibu zurii assure you in next 3 year Tanga arusha musoma sgr itakuwa in implemention stage mkuu
I can assure you, SGR ya Tanga Musoma haiwezi kuanza kujengwa in 10yrs time kutoka sasa, itabaki kuwa katika hatua za upembuzi yakinifu tu, na Magufuli akimaliza muda wake ndio mwisho wake, Hakuna rais mwengine mwenye kifua na ujasiri wa kuijenga hiyo reli, haina mvuto wowote kwa wawekezaji.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba jambo ambalo unaliona kwako halina faida ndo utazani na kwa wengine itakuwa hivyo hivyo.ujue kwenye kitu kinachoitwa maendeleo hayana ukanda wala ukabila
 
Elewa unacho argue maana ulisema hauoni umuhimu sa hivi wala haina economic impact yoyote hata in next 10-20

sa hv unakubali jpm atajenga sio kila kitu uwe unaleta ujuaji mkuu vingine jifunze na uliza kuimarisha wazo lako

mwanzoni nlikuambia mbamba bay ni ppp na musoma nayo n ppp soma post za juu
Nichosema mimi fedha za serikali zisiingizwe kwenye miradi ya tembo mweupe! SGR Tanga-Arusha-Musoma is of no importance were SGR central corridor exists!
 
Kwamba jambo ambalo unaliona kwako halina faida ndo utazani na kwa wengine itakuwa hivyo hivyo.ujue kwenye kitu kinachoitwa maendeleo hayana ukanda wala ukabila
Sasa mbona unaanza kupoteza mwelekeo, kuna mtu ametoa utabiri wake kwamba ndani ya miaka mitatu reli itaanza kujengwa, na mimi nimetoa utabiri wangu, mbona unanilaumi mimi kutoa utabiri wangu vile ninavyohisi lakini huyo aliyetoa utabiri wake unadhani ni sawa si mkabila?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kweli kabisa kwa akili ya kawaida tujenge tena SGR parallel na hii iliyopo ya TANGA arusha, wakati hii iliyopo tukiweka umeme na kuiboresha kama tulivyofanya hii ya Central corridor na kununua train za kisasa za umeme inatosha?, hata huko Ulaya na Marekani pia wengi hawajaeneza mitandao ya SGR, kwa utajiri gani tuliona Tanzania wa kujenga mtandao wa reli hata katika njia ambazo tayari reli zipo?.

Tuacheni kuwa "over ambitious", SGR ijengwe kule ambako hakuna reli tunaanza upya, lakini kule ambako tayari kuna reli, tuboreshe na kuweka umeme na kununua trains za kisasa.

Sababu ya kujenga reli upya ni kutokana na gharama kubwa za kuiboresha ile ya zamani (mwendokasi na kuhimili uzito), ni bora kuanza kuchora picha na karatasi nyeupe kuliko kuifuta futa picha ya zamani..
 
Umenielewa vibaya bali kuna kauli yenu moja mmeisema kuwa haina faida kwa mwekezaji ndo hiyo kauli ninayoipinga.sijazungumzia ukabila bali nimesema maendeleo hayana ukabila wala ukanda
 
Wataalamu wa dunia wa WB walifanya mahesabu na kuona kwamba, gharama za kuifufua Central corridor MGR na hadi kuweka UMEME na kununua train's mpya isingezidi 35% ya gharama tutakazotumia kuifikisha SGR Mwanza, ndio sababu walikataa kutoa PESA za SGR badala yake WB ndio iliyitoa pesa inayotumika kukarabati hiyo reli ya zamani, itakua na kasi ya 70Km/hr na uzito wa 25tonnes Axel sawa na SGR ya Kenya.

Kweli kabisa hiyo reli haina mvuto kwa wawekezaji, ndio sababu shirika la reli lilipobinafsishwa kwa wahindi, njia ya Dar-Tanga-Moshi-Arusha waliachana nayo na kuifunga kabisa kutokana na kutokuwepo kwa biashara ya kutosha.

Mwanzoni nilifikiri unaongelea kuboresha kuwa na standard ya 160km/hr na 35ton axel load, kumbe unaongelea sub standard ya 75km/hr? Kwanini watupangie kuwa na kasi ya 75km/hr badala ya kuwa na 120km/hr? Huoni kuna faida ya kuwa na kasi mara mbili ya hiyo ya WB kibishara? Mbona wao waliziondoa kwao hizo narrow gauge wanaweka pana?

"Akili za kuambiwa changanya na zako" - JK
Kweli kabisa hiyo reli haina mvuto kwa wawekezaji, ndio sababu shirika la reli lilipobinafsishwa kwa wahindi, njia ya Dar-Tanga-Moshi-Arusha waliachana nayo na kuifunga kabisa kutokana na kutokuwepo kwa biashara ya kutosha.
Biashara wakati mwingine ni kutafuta masoko, hawa wawekezaji uchwara wa kipindi cha JK wengi walikuwa hawana nia ya kufanya biashara zaidi ya kushirikiana na baadhi ya viongozi wa serikali kufanya sabotage kwa nchi.

Fikiria, hao wahindi walishindwaje kuwa na mabehewa kama ya Rovos, kuwapitisha watalii usambara wakitokea Arusha kuja Dar es salaam? Idadi ya mabasi kutoka Arusha Mpaka Dar ni kiashira tosha cha biashara kubwa iliyopo katika ushoroba huo wa kaskazini, walishindwaje kama siyo hujumua
 
Mwanzoni nilifikiri unaongelea kuboresha kuwa na standard ya 160km/hr na 35ton axel load, kumbe unaongelea sub standard ya 75km/hr? Kwanini watupangie kuwa na kasi ya 75km/hr badala ya kuwa na 120km/hr? Huoni kuna faida ya kuwa na kasi mara mbili ya hiyo ya WB kibishara? Mbona wao waliziondoa hizo narrow gauge wanaweka pana?

"Akili za kuambiwa changanya na zako" - JK
Kwenye biashara na uchumi wowote lazima utumie uongozwe na graphs za Costs/ returns, zinapikutana ndio penye faida au Economic viability of the project, haujengi tu kwasababu unapenda kasi na nguvu kubwa, kama ni kuchagua kasi tunayoipenda kwanini tusingechagua 320km/hr kama ya Morroco, au 500Km/hr ili Mwanza tufike ndani ya masaa matatu?

Mbona serikali ilishindwa na kulazimika kutafuta wawekezaji?, mbona TAZARA inasuasua waditafute hizo behewa kama za Rovos?, haya mambo yanahitaji kujipanga sio kama unavyofikiria. Kila mtu anapenda kutengeneza faida, ukiona muwekezaji ameikimbia hiyo njia, lazima ujiulize kama kweli hiyo njia kuna faida.

Uko sahihi ila kwa wao kuchagua hiyo 160km/hr inaonyesha walishalinganisha mizani.
Mbona serikali ilishindwa na kulazimika kutafuta wawekezaji?, mbona TAZARA inasuasua waditafute hizo behewa kama za Rovos?, haya mambo yanahitaji kujipanga sio kama unavyofikiria. Kila mtu anapenda kutengeneza faida, ukiona muwekezaji ameikimbia hiyo njia, lazima ujiulize kama kweli hiyo njia kuna faida.
Sasa unataka kufananisha ufanisi wa serikali hii ni zile zilizopita? Mbona kuna mambo lukuki tuu yalishindikana awamu zilizopita na sasa yanawezekana? Mambo mengi yangewezekana kipindi kile kama viongozi wetu wangeamua.
 
Ikumbukwe kwamba sababu kubwa ya WB kukataa kutoa pesa ya kujenga SGR ya Tanzania ni kwasababu ya kuwepo kwa reli ya zamani, wao walisema ni bora kuiboresha reli ya zamani iwe ya kisasa na kuweka umeme kuliko kuwa na reli mbili zinazokwenda sehemu moja.

Hivi kweli kabisa kwa akili ya kawaida tujenge tena SGR parallel na hii iliyopo ya TANGA arusha, wakati hii iliyopo tukiweka umeme na kuiboresha kama tulivyofanya hii ya Central corridor na kununua train za kisasa za umeme inatosha?, hata huko Ulaya na Marekani pia wengi hawajaeneza mitandao ya SGR, kwa utajiri gani tuliona Tanzania wa kujenga mtandao wa reli hata katika njia ambazo tayari reli zipo?.

Tuacheni kuwa "over ambitious", SGR ijengwe kule ambako hakuna reli tunaanza upya, lakini kule ambako tayari kuna reli, tuboreshe na kuweka umeme na kununua trains za kisasa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Tatizo lililopo kwenye MGR zetu ni uimara wa madaraja na matuta ya reli with exception to TAZARA. Gharama ya kuupgrade tuta na madaraja ni bora kujenga sgr yenye axle load ya kutosha kutolerae maximum weight-per-axle, sasa tukitumia mgr ya tanga-arusha unafikiri tutaweza kuachieve hata 100km/h bila kusababisha soil degradation?. Na pia ili kuachieve speed kubwa kuliko ya sasa unatakiwa kunyoosha kona. Swala lingine ni kwamba ulishawahi kujiuliza ni kwa nni tuliweza kununua mabehewa ya delux halafu tukaweka mivichwa ya zamani? na je, ulishawahi kujiuliza ukiirekebisha hiyo reli itarun kwa miaka mingapi? kufanya hivyo ni kama kupiga plasta nyumba ya udongo ukijidaganya itakuwa sawa na ya matofali
 
Na ukiongelea sector ya viwanda nothern arusha inaiva sana unavopeleka miundombinu inawapa wawekezaji uhakika na kuongeza ushindani hususani price inayotokana na usafirishaji.
inatakiwa samaki atoke musoma afike hotelini arusha siku hiyo hiyo hii ndio smart inclusive economy hata kama uganda hatotumia impact za ndani zinatosha tu
Exactly, Tz tuna soko kubwa sana la ndani
 
Mgr inaishia arusha mjini fursa zipo mbele zaidi mpaka ufike musoma ndio utaona general impact
Kingine mgr iliyopo kuimaintain kwa ilipo sasa ni cost mno maana ni old gharama ni kubwa mno.
Mgr kusema ufanye revampe kama ya dsm isaka ni hela ambayo ungeongeza ungejenga new sgr na ukifanya revampe kwa mgr utajenga mgr mpya kutoka arusha to musoma ambayo more than 50% ya total length.
Haihitajiki mgr iliyopo inangolewa inajengwa sgr ndio maana tanga to arusha sgr ake fs tender ni upgrade sio parallel mkuu
Alafu mkuu dunia hii treni mpakaa 500km/h we unangangania tu kukaa na li mgr tena kwenye zones ambazo zinabeba vivutio vingi yani ni kama face yetu kwa wageni wetu mostly.
Very true, asante sana mkuu kwa kuwepo
 
Back
Top Bottom