Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lake ngozi the 2nd largest lake crater in africaView attachment 1574993View attachment 1574994View attachment 1574995
IMG_20200919_163124.jpg
 
Wanamchukia sana na cku ukitaka kujua Magu ni nani kenya ngj amalize muda wake Wakenya watafanya sherehe, unajua haya mambo anayoyafanya Magu yatakuja kulipa miaka 5 mbele ss WaTz wasio na idea ya uchumi wanaona Magu anazingua japo wengi wanamshangilia kutokana na miundombinu aliyojenga but wengi hawajui kuna mambo gn anafanya makubwa kuliko hata hyo miundombinu [emoji3][emoji3][emoji3]
Awamchukii magu,wanachukia magu kuwa rais wa Tanzania,halafu wanapenda magu angekua rais wa kunyaland
 
Bandari inazidi ku-move tu! Kuna mpango wa new berths upande wa Kigamboni.
Niliwahi kumsikia Mkurugenzi Mkuu wa bandari (Eng. Kakoko) akisema kuwa, ilitakiwa upande wote ule (mpaka mtoni) kuachwa wazi, ila serikali iliachia watu wakajijengea hovyo. Hivyo gharama za kuwalipa fidia zitakuwa nyingi, kama wataamua kufanya upanuzi hapo baadae.
 
Back
Top Bottom