Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wataalamu wa dunia wa WB walifanya mahesabu na kuona kwamba, gharama za kuifufua Central corridor MGR na hadi kuweka UMEME na kununua train's mpya isingezidi 35% ya gharama tutakazotumia kuifikisha SGR Mwanza, ndio sababu walikataa kutoa PESA za SGR badala yake WB ndio iliyitoa pesa inayotumika kukarabati hiyo reli ya zamani, itakua na kasi ya 70Km/hr na uzito wa 25tonnes Axel sawa na SGR ya Kenya.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Sasa 70Km/h dunia ya sasa tuakaa nayo hadi lini jamani
 
Kweli kabisa hiyo reli haina mvuto kwa wawekezaji, ndio sababu shirika la reli lilipobinafsishwa kwa wahindi, njia ya Dar-Tanga-Moshi-Arusha waliachana nayo na kuifunga kabisa kutokana na kutokuwepo kwa biashara ya kutosha.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ukiunganisha hadi musoma swala tofauti kabisa + speed ikiwa 100+
 
Mwanzoni nilifikiri unaongelea kuboresha kuwa na standard ya 160km/hr na 35ton axel load, kumbe unaongelea sub standard ya 75km/hr? Kwanini watupangie kuwa na kasi ya 75km/hr badala ya kuwa na 120km/hr? Huoni kuna faida ya kuwa na kasi mara mbili ya hiyo ya WB kibishara? Mbona wao waliziondoa hizo narrow gauge wanaweka pana?

"Akili za kuambiwa changanya na zako" - JK

Biashara wakati mwingine ni kutafuta masoko, hawa wawekezaji uchwara wa kipindi cha JK wengi walikuwa hawana nia ya kufanya biashara zaidi ya kushirikiana na baadhi ya viongozi wa serikali kufanya sabotage kwa nchi.

Fikiria, hao wahindi walishindwaje kuwa na mabehewa kama ya Rovos, kuwapitisha watalii usambara wakitokea Arusha kuja Dar es salaam? Idadi ya mabasi kutoka Arusha Mpaka Dar ni kiashira tosha cha biashara kubwa iliyopo katika ushoroba huo wa kaskazini, walishindwaje kama siyo hujumua
Kweli kabisa mkuu, Akili za kuambiwa changanya na zako
 
Kwenye biashara na uchumi wowote lazima utumie uongozwe na graphs za Costs/ returns, zinapikutana ndio penye faida au Economic viability of the project, haujengi tu kwasababu unapenda kasi na nguvu kubwa, kama ni kuchagua kasi tunayoipenda kwanini tusingechagua 320km/hr kama ya Morroco, au 500Km/hr ili Mwanza tufike ndani ya masaa matatu?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hiyo speed ya 160km/h unayoambiwa sio maximum, kwa tuta lililowekwa tuna uwezo wa kuupgrade 200+
 
I can assure you, SGR ya Tanga Musoma haiwezi kuanza kujengwa in 10yrs time kutoka sasa, itabaki kuwa katika hatua za upembuzi yakinifu tu, na Magufuli akimaliza muda wake ndio mwisho wake, Hakuna rais mwengine mwenye kifua na ujasiri wa kuijenga hiyo reli, haina mvuto wowote kwa wawekezaji.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mkuu nakubaliana na ww JPM akitoka kasi ya mambo mengi ya Ujenzi itapungua km sio kusimama kabisa...nikiangalia safu ya viongozi wajao sioni mtu mwenye guts na determination km ya mzee...mtu ambae anaweza kutia pamba masikioni akafanya kitu kitakacho ifaidisha jamiii yake for many generations to come bila kuskiliza kelele za "Maendeleo ya vitu"....
and second sioni economic advantage ya treni ya Tanga to Musoma, kwanza kwakua ni gharama sana kujenga SGR mpya and second itakua inakatisha mbugani kitu ambacho kitaleta makelele sana na mashirika ya kimataifa..Km barabara tu ya Lami kukatisha serengeti imekua ni tabu io SGR inakatizaje. And third mikoa inayokua covered na hio SGR ni michache compared na Reli ya kati.
Nionavyo mimi hio project itabaki kua kwenye makaratasi km barabara ya Lami kutoka Mara to Arusha...hii itakabaki kua Moyo unataka ila Mwili hauna nguvu ya kulifanya.
 
Kwamba jambo ambalo unaliona kwako halina faida ndo utazani na kwa wengine itakuwa hivyo hivyo.ujue kwenye kitu kinachoitwa maendeleo hayana ukanda wala ukabila
We jamaa mbona unaanza kuleta swags mbovu za ukanda na ukabila? Vimetoka wapi sasa?

Kama vingekuwepo hiyo rail hata ingefufuliwa? Na sio kufufuliwa tu hiyo rail imebadilishwa kabisa, zimeondolowa narrowed rails zikawekwa rail pana, unakosa hoja ya maana unabwabwaja sasa.
 
Sasa 70Km/h dunia ya sasa tuakaa nayo hadi lini jamani
Kaka ukifuata dunia ya sasa na kuanza kushindana nayo bila kufikiria uwezo wako wa uchumi na economic viability utaishia kujenga "white elephant projects" na kubaki na madeni makubwa yasiyolipika, kwasababu hata hiyo 160km/hr pia imeshaanza kupitwa na dunia ya sasa, mimi ningependelea tungeanzia 320km/hr.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Ukiunganisha hadi musoma swala tofauti kabisa + speed ikiwa 100+
Tupe research ya kitaalamu inayoonyesha kwamba kipande cha Arusha Musoma kitaongeza faida za kiuchumi katika hiyo reli, au japo tuambie kuna mizigo gani muhimu kati ya Arusha na Musoma itakayobebwa na hiyo reli, kuna nchi gani itakayounganishwa na hicho kipande ambayo kwa sasa haijaunganishwa na reli?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi ila kwa wao kuchagua hiyo 160km/hr inaonyesha walishalinganisha mizani.
Sasa unataka kufananisha ufanisi wa serikali hii ni zile zilizopita? Mbona kuna mambo lukuki tuu yalishindikana awamu zilizopita na sasa yanawezekana? Mambo mengi yangewezekana kipindi kile kama viongozi wetu wangeamua.
Mbona unaishi dunia ya kubahatisha sana kaka, kwani serikali hii itaishi milele?. Umesema wawekezaji wameshindwa kwasababu walifanya sabotage, serikali zimeshindwa kwa uzembe, sasa unataka kumjaribu nani?.

Asikudanganye mtu, kujenga mbali na kuendesha mradi kwa faida ni kitu muhimu zaidi, tujifunze kwa jirani zetu wakenya, walionywa sana na wachumi wa ndani na nje kuhusiana na SGR kwamba haitoweza kulipa, Uhuru Kenyatta alishikilia misimamo kama mnavyishikilia ninyi kwa kujipa matumaini bandia kwamba kuna biashara Sana, kinachotokea sasa hivi ni kilio nchi nzima.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nakubaliana na ww JPM akitoka kasi ya mambo mengi ya Ujenzi itapungua km sio kusimama kabisa...nikiangalia safu ya viongozi wajao sioni mtu mwenye guts na determination km ya mzee...mtu ambae anaweza kutia pamba masikioni akafanya kitu kitakacho ifaidisha jamiii yake for many generations to come bila kuskiliza kelele za "Maendeleo ya vitu"....
and second sioni economic advantage ya treni ya Tanga to Musoma, kwanza kwakua ni gharama sana kujenga SGR mpya and second itakua inakatisha mbugani kitu ambacho kitaleta makelele sana na mashirika ya kimataifa..Km barabara tu ya Lami kukatisha serengeti imekua ni tabu io SGR inakatizaje. And third mikoa inayokua covered na hio SGR ni michache compared na Reli ya kati.
Nionavyo mimi hio project itabaki kua kwenye makaratasi km barabara ya Lami kutoka Mara to Arusha...hii itakabaki kua Moyo unataka ila Mwili hauna nguvu ya kulifanya.
Maneno mazuri ila sikubaliani na shana kwamba akitoka Magufuli hakuna mtu wa kuendeleza kasi hii.....

Suleiman jafo humuoni!! Jamaa yuko vizuri sana. BITEKO pia humuoni?? Mwinyi Zanzibar humuoni? ? Vijana wapo, ambao kwa sasa wanafundishwa kushika usukani hapo baadae.
 
Asikudanganye mtu, kujenga mbali na kuendesha mradi kwa faida ni kitu muhimu zaidi, tujifunze kwa jirani zetu wakenya, walionywa sana na wachumi wa ndani na nje kuhusiana na SGR kwamba haitoweza kulipa, Uhuru Kenyatta alishikilia misimamo kama mnavyishikilia ninyi kwa kujipa matumaini bandia kwamba kuna biashara Sana, kinachotokea sasa hivi ni kilio nchi nzima.
Usifananishe Jubilee na awamu ya tano.

Faida za kiuchumi siyo lazima zipatikane leo, reli ina maisha marefu (zaidi ya miaka 100). Kumbuka zaidi ya 65% ya watanzania ni chini ya miaka 20, hawa wote wakija kuzaa hapata kalika. Population kubwa kwenye nchi yenye miundombinu ya reli ni mlinganyo unaotengeneza uchumi mkubwa. Angalia maendeleo ya haraka ya Marekani (19th c) na majuzi hapa China (2003 -2013), utaona yanaenda sambamba na km za reli walizojenga.

Miundombinu ni kila kitu kaka, Jeff Bezos asingekuwa na 200Billions leo na kuajiri maelfu ya watu, pamoja na kuwezesha biashara nyingi, kama isingekuwa miundombinu madhubuti ya posta ya Marekani (USPS, moja ya kitengo cha kwanza kabisa kuanzishwa). Hivyo faida za ujenzi wa reli unaweza usiione moja kwa moja ila ki ujumla ni maradufu ya gharama za ujenzi.
 
Tupe research ya kitaalamu inayoonyesha kwamba kipande cha Arusha Musoma kitaongeza faida za kiuchumi katika hiyo reli, au japo tuambie kuna mizigo gani muhimu kati ya Arusha na Musoma itakayobebwa na hiyo reli, kuna nchi gani itakayounganishwa na hicho kipande ambayo kwa sasa haijaunganishwa na reli?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hawawezi kukujibu bila commitment ya Uganda kwenye hii reli sioni umuhimu wake namshauri JPM asiingie mkenge kwenye hii project!
 
We jamaa mbona unaanza kuleta swags mbovu za ukanda na ukabila? Vimetoka wapi sasa?

Kama vingekuwepo hiyo rail hata ingefufuliwa? Na sio kufufuliwa tu hiyo rail imebadilishwa kabisa, zimeondolowa narrowed rails zikawekwa rail pana, unakosa hoja ya maana unabwabwaja sasa.
Tatizo ninyi mnanikuu vibaya.na kila mtu anahaki ya kutoa mawazo yake.na katika mawazo yangu sijaona kama kuna neno nimeliongelea la kumkwaza mtu
 
Usifananishe Jubilee na awamu ya tano.

Faida za kiuchumi siyo lazima zipatikane leo, reli ina maisha marefu (zaidi ya miaka 100). Kumbuka zaidi ya 65% ya watanzania ni chini ya miaka 20, hawa wote wakija kuzaa hapata kalika. Population kubwa kwenye nchi yenye miundombinu ya reli ni mlinganyo unaotengeneza uchumi mkubwa. Angalia maendeleo ya haraka ya Marekani (19th c) na majuzi hapa China (2003 -2013), utaona yanaenda sambamba na km za reli walizojenga.

Miundombinu ni kila kitu kaka, Jeff Bezos asingekuwa na 200Billions leo na kuajiri maelfu ya watu, pamoja na kuwezesha biashara nyingi, kama isingekuwa miundombinu madhubuti ya posta ya Marekani (USPS, moja ya kitengo cha kwanza kabisa kuanzishwa). Hivyo faida za ujenzi wa reli unaweza usiione moja kwa moja ila ki ujumla ni maradufu ya gharama za ujenzi.
Sasa mbona unaishi katika dunia ya nadharia?, kuna wataalamu wa kila eneo husika duniani, lazima kufanya mambo kitaalamu, hatuwezi kufanya mambo kwa mihemko na nadharia.

Kinachoonekana hapa unatumia nadharia zaidi kuliko kutumia ushahidi wa kitaalamu, kwanini unataka kuifanya Tanzania/awamu ya tano kuwa ni "special" haiwezi kushindwa au kupata hasara, kwamba haipaswi kusikiliza na kufanya mambo kitaalamu, kwamba hata kama wataalamu wanasema hili jambo haliwezekani kwasababu za kitaalamu, wewe unapinga kwasababu hii awamu ya tano haishindwi?.

Tuliposema kwanini serikali ilishindwa kuendesha reli na kutafuta wawekezaji, ukasema "usilinganishe serikali zilizopita na serikali hii". Tuliposema wawekezaji waliamua kuachana na hiyo reli ya Moshi kutokana na kutokua na biashara ya kutosha, ukasema "kulikua na hujuma", tumetoa mfano wa SGR ya Kenya, unasema usilinganishe Kenya na Tanzania,. Wewe toa mifano ya Afrika kuonyesha ni nchi gani iliyojenga reli mbili zinazoelekea sehemu moja na zikafanya kazi kwa ufanisi. Kukurahisishia, taja nchi yoyote ile Africa ambayo reli zake zinafanya kazi kwa ufanisi wa hali ya juu ukiacha South Afrika.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Wadau mawazo yenu yote ni mazuri..sana

Kuna pande wanayoona SGR sio economical viable in 10yrs time we have to wait and see na wengne wanona ijengewe hata sasa hivi....

Mimi naheshimu mawazo yote...

Ila mshawaza mnataka reli ifike musoma kwa sababu gani ?..kusafirisha watu cause ya tourism..na in country bussiness au as alternative to Central corridor

Port ya Tanga ni ndogo sana kwa Dar..kama unataka SGR ambayo itacost 4bn usd + huo ni uhakika..lazima pia uandae na 600mil usd ya berth nyngne 2 Tanga...je kuna umuhimu huo sa hizi..wakati hata hakuna barabara za wilaya to wilaya...za lami hazijaisha ..SGR ya central haijaisha ..na tunamikopo ya ku service ya sector mbali mbali ..Dar Port yenyewe haijafikia Mombasa kwa number ya Berths ..kwanii tuspianue Dar port kwa kujenga super berths hata tano mpya..najua kuna plan ya kujenga berth mpya mbil for 600mil usd..ukiachana na hii plan ya expansion...kwa kuweka hivi na maanisha tuna sehemu nyngne ambazo tumeanza tunahitaji tumalizie kwa nguvu na si kufanya nusu nusu

Mimi nnachoona kama ni PPP kama Great jay alivyosema basi ni heri na waanze hata keshoo..ila kama ni GOT basi au hata mkopo commercial sio WB au AFDB isubiri kwanza ...
kuna sehemu nying kuna gaps bado

1.SGR kukamilika Central na kukamlika kwa JNHPP hii itakuwa ndani ya next 5 years -8yrs kwa SGR ..na JNHPP in next 4 yrs mambo ya kienda vizuri

2.Tuanze wenyewe ku mine Chuma chetu hii itasaida hata kupunguza import wa vyuma vya ujenzi wa hyo hyo SGR

3.ATC yenyewe mm navyoona bado haiendeshwi tu standards nzuri maybe cause ya Covid but bado...zile dreamliner inabidi zisiwe zinalala lala yani ni kazi kwa kazi lets see after covid na in next 5 yrs na hapo imecost goverment around 700mil usd ..it need s more stability
4.Bado reli kuunga DRC we need around 4 wagon ferries for DRC and 4 wagon ferries for Uganda for SGR kwenda vizuri ..DRC ni soko kubwa sana kwa SGR ...watu na vitu..na ni taifa kubwa

5.Social services of course so far speed ni nzuri hasa kwa health services na appreciate..ila we need better equipped primary schools na secondary ku imrpove standard za elimu hasa elimu ya kutengeneza vitu na elimu ya kujiajiri.

6 .Serikali pia inabidi ijenge nyumba za gharama nafuu kwa wananchi..kwenye mikoa mbali mbali inafanyika na NHC ila sio gharama nafuu kwa wanachi wa kipato cha chini sana

By saying all that am against GOT kuchukua mkopo au kutumia Tax kujenga Tanga wakati hizo project juu hazijaisha...ila kama ni PPP sawa amabyo goveremnt itapewa reli after X no of years

Sijaona project kubwa mpka sasa ya PPP na govt of Tz ..lets see kama hyo itakuwa ya kwanza
 
We jamaa mbona unaanza kuleta swags mbovu za ukanda na ukabila? Vimetoka wapi sasa?

Kama vingekuwepo hiyo rail hata ingefufuliwa? Na sio kufufuliwa tu hiyo rail imebadilishwa kabisa, zimeondolowa narrowed rails zikawekwa rail pana, unakosa hoja ya maana unabwabwaja sasa.
Pia angalia China Mega project kwenye rail ndo utaelewa vizuri kuhusiana na umuhimu wa rail kwa wananchi na taifa kwa ujumla
 
Back
Top Bottom