Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakenya wenye akili zao 👇👇👇






South Sudan haiwezi kujiunga na LAPSSET if Total n CNOOC r still in EA! Mark my word! Na kumbuka CNOOC pia wako South Sudan na pia ni partner wa total in EACOP.

Kosa walilofanya Kunyaland ni kuwaamini Tullow oil a rookie in oil production and commercialization businesses! Nadhani kuna some heavy weights wana stake Tullow oil kwa jinsi inavyozorotesha shughuli za extraction of oil and commercialization na kuachwa!

Tullow an exploration company is bankrupt na hata Ghana waliwaondoa kwenye stage ya ku-extract oil! Imagine Total is also investing in Mozambique over 20 bln worthy of LNG just to show u how deep pocketed r is Total.
 
Sasa hivi kule twitter media za kenya zikiripoti habari za kenya unakuta tu lazima wakenya wajilinganishe na Tanzania na hapo ndipo tunapopatia habari za kenya kwa sababu nikiingia twitter sehemu ya Trending in Tanzania halafu Tanzania iwepo trending nikibonyeza nakutana na tweets zote ambazo Tanzania ipo mentioned halafu wakija humu utasikia eti tunaifuatilia kunyaland [emoji23][emoji23][emoji23]
 
tungoje tuone ipi itajengwa kwanza....nyinyi na uganda mmeishi kusign na kuzindua ila hamna kitu kinasonga
ohk can confidently assure u FID will be made latest 1st half of 2021, if at all u know what Total and Uganda, and Uganda and Tanzania did as far as HGA is concerned!
 
Back
Top Bottom