Tayari wamekunya kwa pipe sasa sgr itakuwa uharoooTukisaini SGR Na Ug..watakunya
haha Museveni kasema anakuja ku-discuss gas pipeline halafu Mwanza-Isaka SGR launch lazma akaribishwe!geza unachoma😂😂😂😂
Zaidi...ni hiyo GDP itakavyo[emoji573][emoji573][emoji573][emoji573]Ujenzi wa hili bomba ukianza,
LNG Lindi nayo uanze,
Bandari zimepanuliwa,
Si muda mrefu tra watahit 2T per month.
[emoji23][emoji23]Tayari wamekunya kwa pipe sasa sgr itakuwa uharooo
His. Excellence is nominal!! Every step leaving a mark!!
Wanavyo jikanyaga sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yni inaonekan itchukua hata miaka 5 mpka pengine wabatishe kuwa na BRTBRT Kunyaland
👏👏👏👏ila SGR wakifunga deal wakenya watahara dunia nzima 😂😂😂😂haha Museveni kasema anakuja ku-discuss gas pipeline halafu Mwanza-Isaka SGR launch lazma akaribishwe!
Hizi fadhila haziji hivihivi zina conotations za SGR pia!
Hamna cha bure hapo, hiyo pesa ya mafuta (zaidi ya $10m kwa mwezi) ndiyo itajenga SGR kwenda Uganda na bomba la gesi litakalo jengwa sambamba na hilo la mafuta.Taarifa ya SGR ameshapewa fasta pale chemba, kumbuka waliingia chemba kwa kama dakika 5 hivi kabla hawajaibgia ukumbini.
Dah, Kweli hawa watu ni wabinafsi na wanaroho mbaya hasa.
- Ikumbukwe Kunyaland walikuwa na plan ya kununua gesi toka kwetu ila baadae kwa husda wakaamua kuweka kando mradi na kuingia makubaliano na Qatar ya ku-import gesi!
Mkuu hii reason hupaswi kuiexpose, maana ndio bima mojawapo kwenye haya makubaliano na mengine yajayoHamna cha bure hapo, hiyo pesa ya mafuta (zaidi ya $10m kwa mwezi) ndiyo itajenga SGR kwenda Uganda na bomba la gesi litakalo jengwa sambamba na hilo la mafuta.
BTW hivi Museveni alimaliza kutulipa pesa zetu za kumuondoa Iddi Amin?
Dah, Kweli hawa watu ni wabinafsi na wanaroho mbaya hasa.
Hii ni noma sana..man..hili deal litakuja so soon..maana meli za mizigo zinaaza kujengawa kwa kazi hyo...in time tunasuburia SGR iishe..Mwanza-Isaka ikiisha..MGR yenye speed amabyo ni improved inaweza transport hadi isaka..vikaingia kwenye sgr to mwanza[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]ila SGR wakifunga deal wakenya watahara dunia nzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona alimaliza 2005 mkuu!BTW hivi Museveni alimaliza kutulipa pesa zetu za kumuondoa Iddi Amin?