Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,745
- 107,188
Mapovu toka kwa jirani
ngoma noma wanaitoa kama jinsi ilivyoMambo kunoga
wanadai wa july not august mzee usijitie uchizi 😂😂😂Mshahara wa august kwhyo wanadai walipwe august 21st[emoji23][emoji23][emoji23]jamani jamani jamani..tweet zinakupoteza
Kabisa leo wamesahau habari za CORONA.nafkiri katika siku wakenya wamesahau corona ni leo maana wameachana na corona sasa wanaongelea kuhusu pipeline [emoji23][emoji23][emoji116]
duuh hii ni nomaHapa sasa!a
Hii ni ile Faida ya kumsomesha Museveni na kumsaidia katika harakati za kuichukua Nchi.....inasemekana Alikuwa anapendwa sana na Mwalimu na Mara nyingi alionekana Kurasini.Fadhila ni FadhiliView attachment 1568638
nafkiri katika siku wakenya wamesahau corona ni leo maana wameachana na corona sasa wanaongelea kuhusu pipeline [emoji23][emoji23][emoji116]
Kwishaaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
safi, at least leo dunian umefanya kazi mojawapo tukufu ya kumuondolea ujinga mtu mmoja [emoji23]
Imeisha hyo mkuuHii ya pipeline Hoima-Tanga ni pigo kubwa sana kwa Wakenya!Kuna mahali walirelax tukapita nalo.Kwa kiasi tuwashukuru sana Total walianza choko choko hizi toka kipindi Mzee wetu wa Msoga yupo madarakani.Mzee baba Chuma kalisimamia soon mambo yanaiva Mungu bariki.
Waaaaaahhhmeanwhile...
![]()
Tukisaini SGR Na Ug..watakunyaMambo yanayowauma wakenya wa jf wiki hii,
-Mamlaka ya anga ya Uganda kuruhusu ndege za Tanzania kutua Uganda
-Dili la ya EACOP