Uganda kwa sasa haitashughulika wala haitaji reli yoyote zaidi ya SGR hadi Mwanza via Lake Victoria to Port bell, hii ya Tanga Musoma alikua akitaka kwa sababu Central corridor ilikua imekufa, sasa hivi Central corridor kuna reli mbili zote zinafanya kazi vizuri, hawezi kushughulika na reli yoyote tena kwa upande wa Tanzania, Sana sana anakarabati MGR hadi Malaba kuunganisha na Mombasa ili awe na alternative port. Kipaumbele cha Uganda kwa sasa ni bomba la gesi toka Tanzania ili akavune chuma chake.
Sent from my TECNO-L8 using
JamiiForums mobile app