Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,037
- 107,533
iishe kwanza SGR central corridor, SGR kigali-Isaka, SGR Kigoma-Gitega na SGR Mtwara-Mbambabay!Ukiachana Uganda kuuunganisha sgr ya kisasa na Tanzania
Kuna Tanga Arusha Musoma Sgr nazani hii itakuwa root bora zaidi kwa uganda kupitia ziwani au mnaonaje hiyo?
Tunapiga kote kote