Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wako busy na 2022 canpaigns

hawa ni wapuuuzi.. ishu za uchaguzi kuna namna inarudisha maendeleo kwa kiasi flan.. maana uchaguzi lolote linaweza kutokea mfano mapigano.. na wanavyoanza mapema 2 yrs before uchaguzi ndo wanaharibu hasa
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]ila SGR wakifunga deal wakenya watahara dunia nzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Media zao zitatafuta agenda ya kutupiga propaganda mpaka hasira zao zitakapoisha.
 
hawa ni wapuuuzi.. ishu za uchaguzi kuna namna inarudisha maendeleo kwa kiasi flan.. maana uchaguzi lolote linaweza kutokea mfano mapigano.. na wanavyoanza mapema 2 yrs before uchaguzi ndo wanaharibu hasa
Haya ndio matunda ya kutaka kushindana na sisi, wanajaribu kushindana na Tz kwenye uchaguzi ilhali muda bado + uongozi wa sasa ndio unawapa tabu kabisaaa, ni kama vile demu ambaye kila siku shoga yake anamhadithia anavyokunwa na mshkaji wake huku yeye akiwa hafikishwi😀
 
Back
Top Bottom