Wacha ujinga wewe hiyo ardhi yote ni ya BRT for future plans huyo Mchina atafute sehemu nyingine!
BRT wenyewe wanaweza kuamua kujenga mall yao ili yale ya hadaa za Oysterbay police kuhepukika kwa nguvu zote!
Narrow mindedness kama wewe na Makonda mlitaka kutuingiza mkenge! Huyo Mchina kama yuko serious anashindwa nn kuwanunua wale wa upande wa Ubungo maji kisheria?
Watu kama wewe mnanunuliwa kwa vitu rahisirahisi hata upande wa khanga! BRT haina ofisi zake, kwanini iuze eneo? Kwani inashindwa kujenga mall yenyewe? Hivi unajua thamani halisi ya hiyo ardhi?
What if BRT is to incorporate trams n r built, where will they park, turn n get serviced? Wacha akili ndogo!