Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

leo anapokea taarifa mbili mbaya sana..
1. bomba la mafuta
2. ujenzi wa SGR (hapa napenda Magu alichomekee hili jambo, then amwambie kabsa M7 live adharani na yey ajenge SGR ya kuelekea TZ)
Taarifa ya SGR ameshapewa fasta pale chemba, kumbuka waliingia chemba kwa kama dakika 5 hivi kabla hawajaibgia ukumbini.
 
so munalipa wafanya kazi mwanzo wa mwezi manake mshahara wa sept munalipa tar 1 sept [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww hua hukubali kushindwa daima
Leo sept tarehe kumi na tatu nionyeshe nani ame issue letter yyte ya maandamano kuhusu mishahara
 
Leo sept tarehe kumi na tatu nionyeshe nani ame issue letter yyte ya maandamano kuhusu mishahara
nakuonesha ya mwezi uliopita manake hawajalipwa bado wanalia na nchi imekufa 😂😂😂👇👇👇👇
BFFAE5AB-8561-47CA-84E7-4364DE0C7918.jpeg
 
jibu swali hua munatoa mshahara wa mwezi wa tisa mwanzo wa mwezi???[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeanza kuchange gear baada ya kuona umekosa tweet ingine..
Hyo tweet uliyoleta ilkua ni mshahara ya mwezi gani?
 
jibu swali hua munatoa mshahara wa mwezi wa tisa mwanzo wa mwezi???[emoji23][emoji23][emoji23]
Mshahara wa mwezi uliopita kw sasa inatakiwa watu wamelipwa tayri..
Kumbe hata hujui watu hku wanalipwaje, kila sekta iko na siku zake..uache kudandia tweets zinazoongea mishahara hata usiojua ni ya miezi gani
 
walipwa vp wakat watu wanalalamik mwezi wa nane tarehe 23 manake kuna mshahara wa mwezi wa saba hawajalipwa hapo 😂😂 dont think people are stupid
 
walipwa vp wakat watu wanalalamik mwezi wa nane tarehe 23 manake kuna mshahara wa mwezi wa saba hawajalipwa hapo [emoji23][emoji23] dont think people are stupid
Mbna hawalalmiki wa mwezi wa nane na wakati tayari sai ni tarehe 13
 
Back
Top Bottom