Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magufuli anataka hicho kipande cha Makutupora - Isaka wajenge jeshi?

Dah hii itakua bonge la project, kutoka Dar kwenda Mwanza itakuwa simplified sana ila pia Airtanzania itakula kwao kidogo since ndio their profitable route.
Mkuu kwa Tz hilo halipo yn Atcl bado itapata chake na TRC itapata chake, kumbuka usafiri wa ndege ni very faster so wapo wataopanda ndege na wapo wataopanda treni, japo kwa cku za kwnz kwnz itayumbisha kdg anga ila itarudi tena vile vile mkuu. Hapo wa kuwahurumia ni wamiliki wa mabasi lkn hata hivyo co wa kuwahurumia cz wamezoea ulanguzi so ss tunaelekea kwenye ukweli halisi.
 
Orderly and beautiful than any city in Tanzania. The kind of Urban zoning in Nakuru has no competitor in the whole of Tanzania.
1. Residential

View attachment 1536693
View attachment 1536696
2. Commercial
View attachment 1536697View attachment 1536699
3. Social
View attachment 1536701
4. Industrial
View attachment 1536702View attachment 1536703
Nyie Wakenya msijisumbue kuifananisha miji yenu iliyopangiliwa vizuri na miji ya Tanzania,kiufupi Tzn hakuna mipango miji nchi nzima utakakakopita ni slums tupu na hata wahusika hawajali yaani wanaona kuishi kiholela kama ng"ombe sio tatizo,jamii hazina elimu wala ustaarabu na wanaona kuishi kwenye maeneo yaliyopangwa ni ufahari na sehemu za matajiri
Ndio sababu unakuta dream houses kila sehemu no order,kama wanabisha waambie wakupe mji wowote uliopangwa vizuri kama huu
 
Kenyans waiting to have this level of infrastructure like
1C0D67DF-1738-459B-8451-A1769619E98D.jpeg
2B7ECCB6-57E2-4331-8FE9-8DCB0F0C2DB9.jpeg
 
Still kwa u-turns hiyo njia hazitasaidia kiviile maana ina magari mengi sana ya mizigo, kumbuka usalama magari ya mizigo ni machache sana. Kwa vyovyote vile the best approach ni kunyanyua flyover katikati ya hizo mbili kama wanajali future ya hiyo junction
Kumbuka magari ya mizigo mengi yataanza kwala kwenye dry port
 
Uswazi reloaded, hahaha,,yani town zote za Tz are made of uswazi 80% kweli mko nyuma
Unaweza jionea mwenyewe ,nchi nzima ya Tzn ni uswahili na slums na hakuna anaejihangaisha kusisitiza sera za mipango miji,huwa nashangaa sana inakuaje jamii iliyostaarabika kuishi bila order? Tena hapo Iringa ni nafuu lakini miji kama Dar,Mwanza,Mbeya ni uharo mtupu,toka alivyopanga mkoloni imesalia hivyo hivyo,wakipima tu plot kadhaa wanashika wenye uwezo lakini masses wanasalia kukuza miji kiholele holela kwa dream houses
Huku bongo kuishi kwenye plots zilizopimwa ni ufahari na sio kitu cha lazima na hata bei zake ziko juu..Huwa najiuliza serikali inashindwa nini kupima viwanja vya high density to medium na kuviuza kwa bei ya viwanja vya mtaani ili kusiwe na uswazi? Ni aibu sana
 
Back
Top Bottom