Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_5152.jpg
 
Pwahahahaha!!!
Vile vipanya umevificha wapi.
By the way Tanzania tulishanga hama kuongelea buses we are talking about bus stands

Luxury Buses in our country are obvious.
Kila corner ya Tanzania kuna Luxury Buses.
Umepanic
 
Basi mna reli Mgr kilomita nyingi kutushinda. Lakini nashuku ruti zingine hazifanyi kazi kwa uzembe wenu wa kutorekebisha reli inapoharibika.
Reli iliyokuwa aifanyi kazi ni moja tu ambayo ndiyo imeanza kufanya kazi ,
Sasa kuna treni za mijini kwenye hizo njia zote 3 ndiyo maana tuliwaambia treni za mijini tumewazidi
 
Back
Top Bottom