Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

BRT Phase 2 , 52% Completed.

IMG_1271.jpg

IMG_1272.jpg

Samora mwendokasi zinasababisha foleni mpaka wameweka traffic lights. Samora/Morogoro road junction imekaa vibaya,huwezi kuona mwendokasi likija hadi ufike kwenye junction usimame kabisa,sasa fikiria kila gari inakuja inasimama kwanza ndio ipite,foleni yake kama hamna polisi ni balaa.
Exactly, kama ulishakua mtumiaji wa barabara ya kukatiza ubungo kati ya mwenge na river side utaelewa kuwa BRT ni lazima ipite juu la sivyo hiyo mfugale itakuwa imenufaisha upande moja tu na wasipoweka flyover ntakua mojawapo ya watakaopiga kelele za huo uzembe kila mara
 
Itapita hapo kama zinavyopita magomeni. Na magomeni hakuna foleni inayosababishwa na mwendokasi.
Nyomi ya usalama huwezi fananisha na tazara chief na pia kumbuka kinachosaidia magomeni ni u-turns ambazo hazipo tazara
 
zidi kucheka upuzi ila watu wanakwepa jamiiforums kwasababu imejaa utoto siku hizi...imejaa imature guys of late na wale wamekomaa kiakili wanaenda mmoja mmoja wengi wao wakikimbilia skyscrapercity...skyscrapercity inavutia watu kwasababu haina utoto watu wako very mature kule.ikiendelea hivi jamiiforums itabaki watanzania pekee yake na kila ishara inaonesha inaelekea huko. food for thought
We sema mezoa WaTz waliokua wakiponda nchi yao, now wengi wameamka na wengine wamekua inspired na Magufuli so hamna wa kuwasupport kuitukana Tz
 
Nyomi ya usalama huwezi fananisha na tazara chief na pia kumbuka kinachosaidia magomeni ni u-turns ambazo hazipo tazara
U-turns ni utaratibu wa brt ikijengwa hapo zitawekwa tena kutakuwa no-right turn kitu kitakachopunguza zaidi foleni. Kwani brt mfano ikitoka national stadium kwenda ubungo ikipita hapo inazuia magari gani wakati ya mjini yanapita juu?
Kinachoongezeka hapo ni waiting time ya brt ya city centre to airport ambazo sio nyingi kama magari ya kawaida.
 
Exactly, kama ulishakua mtumiaji wa barabara ya kukatiza ubungo kati ya mwenge na river side utaelewa kuwa BRT ni lazima ipite juu la sivyo hiyo mfugale itakuwa imenufaisha upande moja tu na wasipoweka flyover ntakua mojawapo ya watakaopiga kelele za huo uzembe kila mara
Usifananishe Morogoro road pale Posta na junction ya Ubungo. Pale Posta ni blind spot sio kama Ubungo.
Mfugale hadi kesho imenufaisha upande mmoja nakushangaa unasema brt italeta foleni Mandela wakati foleni ya Mandela iko pale pale hata brt hakuna. Source ya foleni ya Mandela ni buguruni junction.
 
U-turns ni utaratibu wa brt ikijengwa hapo zitawekwa tena kutakuwa no-right turn kitu kitakachopunguza zaidi foleni. Kwani brt mfano ikitoka national stadium kwenda ubungo ikipita hapo inazuia magari gani wakati ya mjini yanapita juu?
Kinachoongezeka hapo ni waiting time ya brt ya city centre to airport ambazo sio nyingi kama magari ya kawaida.
Still kwa u-turns hiyo njia hazitasaidia kiviile maana ina magari mengi sana ya mizigo, kumbuka usalama magari ya mizigo ni machache sana. Kwa vyovyote vile the best approach ni kunyanyua flyover katikati ya hizo mbili kama wanajali future ya hiyo junction
 
Usifananishe Morogoro road pale Posta na junction ya Ubungo. Pale Posta ni blind spot sio kama Ubungo.
Mfugale hadi kesho imenufaisha upande mmoja nakushangaa unasema brt italeta foleni Mandela wakati foleni ya Mandela iko pale pale hata brt hakuna. Source ya foleni ya Mandela ni buguruni junction.
sasa kama bado kuna foleni halafu ukaongeza lane ya kukatisha si ndio utaongeza foleni zaidi?
 
Still kwa u-turns hiyo njia hazitasaidia kiviile maana ina magari mengi sana ya mizigo, kumbuka usalama magari ya mizigo ni machache sana. Kwa vyovyote vile the best approach ni kunyanyua flyover katikati ya hizo mbili kama wanajali future ya hiyo junction
Kwani sasa hivi mbona kuna foleni? Kuna brt? Unajua kwanini kuna foleni?
 
sasa kama bado kuna foleni halafu ukaongeza lane ya kukatisha si ndio utaongeza foleni zaidi?
Itaongezeka foleni ya kusubiri brt ipite for half a minute. Sio ile ya kusimamisha upande mmoja nusu saa kuruhusu gari za airport au Mandela zipite.
 
😆😂😂😂😂

Poleni sana. I can feel your pain and anger guys. But kukimbia sio suluhisho..embrace the facts na maisha yaendelee. Najua dose ni kali sana hamuamini mlichokutana nacho, next time msirudie kuchokoza wakubwa zenu kisa wako kimya unachukulia poa.
Just imagine ungekuwa Barca ushapigwa sita hala unaambiwa kuna option ya kumaliza mechi dakika ya 70 utafanyaje. Nondo zinazokuja si mchezo na inahitaji uvumilivu wa hali ya juu
 
Yah sehemu pekee ambapo mwendokasi husimama ni kwenye vituo na kwenye mataa, af pale Tazara kutakuwa na mwendokasi inayoelekea g/mboto na nyingine phase 4 nafikiri inayotokea ubungo to kurasini but foleni haiwezi kuwepo mana nazo zinasimama kwenye mataa japo kungekuwa na flyover nyingine ipite juu ya flyover ya sasa kwa ajili ya mwendokasi za kutokea Ubungo to kurasini ingekuwa poa sn.
Ingekuwa poa sana
 
Back
Top Bottom