Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Upperhill roads are becoming better and better.
Umewaza kibongo bongo kabisa yani, yani hko kwenu mnatafuta pesa kw ajili ya njaa kali..we komwe una utoto mwingi....
98% kinachofanya binadamu atafute pesa ni njaa kali la sivyo binadamu tungekuwa tumeumbwa kwa kutokuwa na njaa hakuna ambaye sngejishughulisha kutafuta pesa.....
hizo asilimia 2 zilizobaki nakuachia ili uweze kununua ped na mahitaji mengine yakidunia....
Ndio, Unakuja lini kutembelea east africa mega city a.k.a Dar uvinjari kwa raha zako?Upo, hta nishalijibu hko chini jomba..una swali na wewe
Tell me Gomora, how can a family sustain/afford a decent metabolism without strong economic power at least at their level of living condition/standard?Nguvu ya uchumi sio chakula, ama wewe ukiambiwa ile familia uchumi wao uko vizuri wewe kw akili za haraka tayari utawaza chakula ...
Watanzania saa zote huaga mnawaza chakula, ndio manake mpka karne hii kw kampeni za siasa mnapikiwa wali.
Uwezo wako ya kufikiria na kuchambua mambo ya kiuchumi na kisiasa upo chini sana hilo lipo wazi. Jitahidi utoke huko chini matopeni.Uchumi sio chakula, ukitaka chakula pambana ufanye kazi upate hela ndio uangalie km utanunua ule au utaendekeza starehe..
Ndio manake wanasiasa wenu huwabeba uwanaa sana, eti mtu anakuja alafu anapika wali mle ndio mmpigie kuraView attachment 1547705
Mkuu hilo swali ni kubwa sana na gumu kwa huyo binti/mama Gomora. Yaani kwa hilo swali tu anaweza asionekane humu wiki nzima akisubiri upepo utulie kwanza! 😀 😀



Hebu ngj nione akili yako, haya india watu wangekuwaje matajiri wote twende mpk mwisho uckimbie tafadhaliHehehe!!hvyo ndivyo mmefundishwa saint kayumba, jamani...basi si india watu wangelikua matajiri wote![]()


Leo nakubana mpk makalio hayo hutoki leo, haya niambie nani kaongelea habari za private sector na utajiri wa nchi, hapa tunaongelea gdp kwmb inakuwaje gdp yenu kubwa kuliko Tz hapo hapo idadi ya watu kwenu ni ndogo kuliko kwetu which means per capita yenu kubwa kuliko yetu and yet u fail to afford ur basic needs?Hzo nchi pia private sector ipo vizuri na haiyumbishwi kijingajinga..
Kuna utofauti wa nchi kuwa tajiri na nchi yenye uchumi mkubwa..
Hvyo ni vitu viwili tofauti kaka..
Kazi ya uchumi sio kulisha watu![]()
We mpuuzi ukisikia mtu yule ni maskini mana ake kitu cha kwanza kinamsumbua ni njaa, ukiona mtu anaonekana yupo vzr kiuchumi maana yake kitu cha kwanza hakimsumbui ambacho ni chakula.Nguvu ya uchumi sio chakula, ama wewe ukiambiwa ile familia uchumi wao uko vizuri wewe kw akili za haraka tayari utawaza chakula ...
Watanzania saa zote huaga mnawaza chakula, ndio manake mpka karne hii kw kampeni za siasa mnapikiwa wali.
Na ndiyo msingi wa kila kitu unaanzia hapo.Lengo la uchumi ni ili mtu ama nchi iweze kujipatia mahitaji ya msingi ya binadamu, hilo ndio lengo kuu la binadamu yeyote kufanya kazi ili kupata uchumi, hayo mengine ni ziada tu.
Hakuna duniani, tena ninarudia kwa msisitizo, uchumi wa mtu au nchi hauna maana kama huo uchumi haujamaliza shida ya chakula, maji na malazi.
anh sasa umekasirika 😂😂😂😂Wanahabari msiogope, pigeni kazi hakuna kutekwa
Mnajikamua sn lkn hamtaweza cz hamna uwezo


Hivi hapa kwa jinc walivyopaweka kwa ss kuna uwezekano wa maji kujaa hapo?
Sifaham bro!!Hivi hapa kwa jinc walivyopaweka kwa ss kuna uwezekano wa maji kujaa hapo?
Usifananishe newyork na vitu vya kijingaHehehe!!hzo ni assumptions tu jomba na wala sio kila mtu anafikia hvyo viwango
Unakuta nchi ina per capita ya zaidi ya $50k lkn bado utakuta miji yao kumejaa watu homeless km nini..
Kw mfano new york na dubai, kw akili za haraka haraka new ina uchumi mkubwa..
Lkn ukiangalia vitu kw groun NYC ina wazawa kibao kw street wanayumba kimaisha..
Narudia tena, uchumi sio chakula bali ni level ya ukuzaji wa bidhaa na huduma za viwango