Duh!!we kweli umewehukaMiradi mikubwa yote hapo kenya inaendeshwa na wageni nyie mmesomea nn?
Vs dieselKenyans waiting to have this level of infrastructure like
View attachment 1548574View attachment 1548575



Yes. Vs that.
inabidi walitizame kwa kina hili swalaIkipita chini itasababisha foleni pale
wakenya huwa si wabunifu ni wazito kifikra ndiyo maana huwa nasema kuwa kwenye sector ya ujenzi wakenya wapo zerooo,,,,mpaka wajengewe ...
Unakuwa mjinga sana,hao hao watoto wakali wa NYC ukiwaahidi trip ya kibera pia hawatoweza kulala..si huja sana hapo kibera!?!!..kwa hiyo unataka kusema kibera ni bora zaidi ya newyorkHahahaha!!watoto wakali wa NYC ukimuahidi trip ya dubai hatolala
Mbna povuUnakuwa mjinga sana,hao hao watoto wakali wa NYC ukiwaahidi trip ya kibera pia hawatoweza kulala..si huja sana hapo kibera!?!!..kwa hiyo unataka kusema kibera ni bora zaidi ya newyork
Newyork isikie tu mzee,ile city ukidondoka, unaweza kuchanganyikiwa ukawa unacheka tu muda wote,kwanza city ina watu mob wa kila race,night club za strippers mzee from bronx yaani kila kona,hakuna kitu unakosa newyork..NYC offers everything


Jengo lenu la TPA ka design mkenyawakenya huwa si wabunifu ni wazito kifikra ndiyo maana huwa nasema kuwa kwenye sector ya ujenzi wakenya wapo zerooo,,,,mpaka wajengewe ...
mfano mzuri angalia visurburb walivyojenga ni vituko n Kila mwaka huwa vinaanguka...

na lile jengo ni kati ya yale bora bongo nzimaSuburb gani imeanguka, kwnaza unajua unaongea nini..sometime soma kwanza ulichokiandika before u postwakenya huwa si wabunifu ni wazito kifikra ndiyo maana huwa nasema kuwa kwenye sector ya ujenzi wakenya wapo zerooo,,,,mpaka wajengewe ...
mfano mzuri angalia visurburb walivyojenga ni vituko n Kila mwaka huwa vinaanguka...
jifanye kichaa...Suburb gani imeanguka, kwnaza unajua unaongea nini..sometime soma kwanza ulichokiandika before u post








Pumba zikiwa nyingi ni shida sana...Nyie Wakenya msijisumbue kuifananisha miji yenu iliyopangiliwa vizuri na miji ya Tanzania,kiufupi Tzn hakuna mipango miji nchi nzima utakakakopita ni slums tupu na hata wahusika hawajali yaani wanaona kuishi kiholela kama ng"ombe sio tatizo,jamii hazina elimu wala ustaarabu na wanaona kuishi kwenye maeneo yaliyopangwa ni ufahari na sehemu za matajiri
Ndio sababu unakuta dream houses kila sehemu no order,kama wanabisha waambie wakupe mji wowote uliopangwa vizuri kama huu

.Kukopy na kupest wakashidwa likawa kama kihengeNairobi
View attachment 1548398
London
View attachment 1548402View attachment 1548398View attachment 1548402
Copying n pasting,no innovation, yaani wakenya hovyo Sana!