The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Yah sehemu pekee ambapo mwendokasi husimama ni kwenye vituo na kwenye mataa, af pale Tazara kutakuwa na mwendokasi inayoelekea g/mboto na nyingine phase 4 nafikiri inayotokea ubungo to kurasini but foleni haiwezi kuwepo mana nazo zinasimama kwenye mataa japo kungekuwa na flyover nyingine ipite juu ya flyover ya sasa kwa ajili ya mwendokasi za kutokea Ubungo to kurasini ingekuwa poa sn.Lengo la mwendokasi ni kupunguza foleni, na ufanisi wake ni pale phases zote zitakapokamilika, mwendokasi si kwamba haisimami kwenye taa ila ina njia yake maalumu haisimami pamoja na magari mengine so haiwezi tengeneza foleni.
huu utakua Phase 7