Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mkuu nafurahi sana kuona heshima ya Tz na WaTz kwa ujumla imerudi dhidi ya hawa mahasidi kilichobaki nasubiri kwa hamu kubwa WB wakisawazisha yale makosa ya kuitambua kenya eti ina GDP kubwa EA na najua soon ubao utasomeka hivi [emoji116][emoji116]

Tanzania GDP - $150bil
Kenya GDP - $109bil [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hii comment imeandikwa kwa uchungu mkubwa mnoo.

View attachment 1546747
Hata uandishi unaonyesha km huyo jamaa sio wetu, hakuna mkenya ataandika eti tunajisifia na kingereza..
Kamwe na haitowai tokea[emoji23][emoji23][emoji23]
Tena siku hizi wamejaa wengi sana youtube, twitter, fb kujivika ukenya..

Endeleeni, fanyeni bidii kabisa[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mimi mkuu nafurahi sana kuona heshima ya Tz na WaTz kwa ujumla imerudi dhidi ya hawa mahasidi kilichobaki nasubiri kwa hamu kubwa WB wakisawazisha yale makosa ya kuitambua kenya eti ina GDP kubwa EA na najua soon ubao utasomeka hivi [emoji116][emoji116]

Tanzania GDP - $150bil
Kenya GDP - $109bil [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi mkuu wala sifikirii huko, mimi ninauhakika kabisa GDP ya Kenya haizidi $73B, punde utasikia IMF na WB wamerekebisha GDP ya Kenya.
 
Mimi mkuu wala sifikirii huko, mimi ninauhakika kabisa GDP ya Kenya haizidi $73B, punde utasikia IMF na WB wamerekebisha GDP ya Kenya.
Ukisemacho ni kweli kabisa kuna tatizo kuhusu gdp ya kenya hata Wakenya wanajua, haiwezekani nchi ina gdp $99bil af population co kubwa lkn wakashindwa kuwalisha Wakenya kwa pesa yao mpk wasubiri misaada.
 
Hata uandishi unaonyesha km huyo jamaa sio wetu, hakuna mkenya ataandika eti tunajisifia na kingereza..
Kamwe na haitowai tokea[emoji23][emoji23][emoji23]
Tena siku hizi wamejaa wengi sana youtube, twitter, fb kujivika ukenya..

Endeleeni, fanyeni bidii kabisa[emoji122][emoji122][emoji122]
Tofauti yangu na wewe ni kwamba mimi huwa nakuja na ushahidi kabisa ila wewe huwa unabisha tu bila ushahidi wowote.
 
Ukisemacho ni kweli kabisa kuna tatizo kuhusu gdp ya kenya hata Wakenya wanajua, haiwezekani nchi ina gdp $99bil af population co kubwa lkn wakashindwa kuwalisha Wakenya kwa pesa yao mpk wasubiri misaada.
Lini magufuli aliwalisha hata angalau wazee wa chato
 
Tofauti yangu na wewe ni kwamba mimi huwa nakuja na ushahidi kabisa ila wewe huwa unabisha tu bila ushahidi wowote.
Hahaha!!narudia tena, mpenintaarifa huyo jamaa anagalau ajaribu kivingine..
Hapo kw english kabugi na huo ndio ukwel, ukitaka kutukoroga ndio tusijue km wewe sio mtz njoo kinyangau..
 
Nimejoin hii thread tokea inaanza ila Kuna mafighter Sana humu nawakubali wanazidi kuwanyoosha vijana wa Kenyatta salute kwenu ichoboy,Ndida,Tuusan,Lusematic,mkorintho,Joto la jiwe,Geza ulole,Simon,walker 255,the best 007,toptorn kina Anael,Kadoda sijuwi wapo wapi asee, na woote ambao (Id) zenu zijazishika Fresh huu ndio uzalendo, bampa tu bampa mpaka tuhakikishe kila Kona wanacheuwa tu'.. sahivi Kenya wanaleta mipasho tu.

(Natoa Ofa kwa Mkenya ila awe mdada December hii Kama hatokuwa lockdown aje bongo nitamlipia kila kitu atakaa Jijini Dar-es-salaam,Jiji lenye hadhi yake ukitua tu lazima ung'ae hata Kama huna hell,pia na kwenda matembezi baadhi ya Maeneo ya Jiji kwa pesa yangu Kama upo tiare uje inbox tuyajenge ila hakikisha unarangi ya mtume😂😂)

Ila wabongo wenzangu huwa natamani ningekuwa na mda wa kurelax niwe camera man TU,Kuna angle nyingine nazionaga afu dar Sina camera unajua haya mafeelings ila itanibidi ninunue kamera hii ndio Kama gobore kwenye hii battle 😂😂

Mapambano yaendelee
Kipindi Inaanzishwa
Wengi wali idharau
Lakini kuna majembe kadoda11 Annael MOTOCHINI Hawa watu sijui wapo wapi
 
wenye akili zao 👇👇👇
A4B7F51D-E976-4448-B1B4-16C1ADB56B25.jpeg
 
Back
Top Bottom