Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bro nonsense ila ushanielewa kuwa Chinese Products are cheap na hiyo alama ya 4G kwa ukubwa huo unamiliki Simu copy ukweli unachoma siijui Simu yako Ila hizi details Ni 90% sure [emoji23][emoji23] Simu tu inaweza determine Uchumi wako Bwana wanjala[emoji1787][emoji1787]

View attachment 1546094
Hapo ke uchumi umenikoroga kiasi, manake siku hizi watu wanamiliki simu za bei na uchumi wake unayumba
 
nimetoka kucheck mpira na wana... narud home shem ako kaniandalia hii kitu.. usije ukanitumia picha ya ugali tembele [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1546350
mkuu hapo hata toto likitoka ni dume la mbegu.....
kulingana na life ya wanjala mtoto atakayetoka kwake ni kibaka halafu popo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimejoin hii thread tokea inaanza ila Kuna mafighter Sana humu nawakubali wanazidi kuwanyoosha vijana wa Kenyatta salute kwenu ichoboy,Ndida,Tuusan,Lusematic,mkorintho,Joto la jiwe,Geza ulole,Simon,walker 255,the best 007,toptorn kina Anael,Kadoda sijuwi wapo wapi asee, na woote ambao (Id) zenu zijazishika Fresh huu ndio uzalendo, bampa tu bampa mpaka tuhakikishe kila Kona wanacheuwa tu'.. sahivi Kenya wanaleta mipasho tu.

(Natoa Ofa kwa Mkenya ila awe mdada December hii Kama hatokuwa lockdown aje bongo nitamlipia kila kitu atakaa Jijini Dar-es-salaam,Jiji lenye hadhi yake ukitua tu lazima ung'ae hata Kama huna hell,pia na kwenda matembezi baadhi ya Maeneo ya Jiji kwa pesa yangu Kama upo tiare uje inbox tuyajenge ila hakikisha unarangi ya mtume😂😂)

Ila wabongo wenzangu huwa natamani ningekuwa na mda wa kurelax niwe camera man TU,Kuna angle nyingine nazionaga afu dar Sina camera unajua haya mafeelings ila itanibidi ninunue kamera hii ndio Kama gobore kwenye hii battle 😂😂

Mapambano yaendelee
 
Nimejoin hii thread tokea inaanza ila Kuna mafighter Sana humu nawakubali wanazidi kuwanyoosha vijana wa Kenyatta salute kwenu ichoboy,Ndida,Tuusan,Lusematic,mkorintho,Joto la jiwe,Geza ulole,Simon,walker 255,the best 007,toptorn kina Anael,Kadoda sijuwi wapo wapi asee, na woote ambao (Id) zenu zijazishika Fresh huu ndio uzalendo, bampa tu bampa mpaka tuhakikishe kila Kona wanacheuwa tu'.. sahivi Kenya wanaleta mipasho tu

(Natoa Ofa kwa Mkenya ila awe mdada December hii Kama hatokuwa lockdown aje bongo nitamlipia kila kitu atakaa Jijini Dar-es-salaam,Jiji lenye hadhi yake ukitua tu lazima ung'ae hata Kama huna hell,pia na kwenda matembezi baadhi ya Maeneo ya Jiji kwa pesa yangu Kama upo tiare uje inbox tuyajenge ila hakikisha unarangi ya mtume[emoji23][emoji23])
***
Ila wabongo wenzangu huwa natamani ningekuwa na mda wa kurelax niwe camera man TU,Kuna angle nyingine nazionaga afu dar Sina camera unajua haya mafeelings ila itanibidi ninunue kamera hii ndio Kama gobore kwenye hii battle [emoji23][emoji23]

Mapambano yaendelee
Mimi huwa ninacheza namba za pembeni, hao wengine wote wanacheza katika ya uwanja, hapo beki ya kati ni Geza Ulole, malizia kuwapa namba hao uliowataja, mimi yangu ni 11[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom