Pesa nzuri iyo wanaweza kujenga barabara makini 65>km bila wasiwasi.Nimesema barabara kwa kua ndio artery ya uchumi
Kweli aise hadi nimejisikia uchungu
Hahaha!!tatizo huyo mtanzania kaleta shobo..Jamiiforums ni forum inayomilikiwa na Mtanzania na huwezi nipangia pa kuingia ingekuwa labda ni kwenye zile forums zenu za ushago ungekuwa sahihi kuandika hivo.
Alaaa!!economics gani ya gdp kulisha watu..ilete msomiWe huelewi chochote kuhusu Economics thus y una argue kwa style hii, kwn niliposema gdp yenu ni ya uongo kwasababu mnashindwa kulisha watu unadhani nimemaanisha nn km kweli unaelewa japo kidogo habari za GDP.


We live our lives as per our choice, do you want to choose for us the way we should live?.Hahaha!!tatizo huyo mtanzania kaleta shobo..
Alafu nikuulize mbna hamuenekani kimataifa, mnangangania jf kutwa tu




Endeleeni, mpka ccm pia mtuwekee kenyan section ndio muishi hayo maisha yenu vizuriWe live our lives as per our choice, do you want to choose for us the way we should live?.![]()
Kazi ya kwanza kuu na ya msingi ya uchumi wowote ule duniani "is to feed people, before anything else"Alaaa!!economics gani ya gdp kulisha watu..ilete msomi
Kisha unifafanulie tunashindwa kuwalisha watu mpka tusubirie misaada
Hapo ilkua unatumia term gani ya uchumi
Msimlaumu yule mzee, yanga kama yanga ina matatizo makubwa sana,sana,sana,sanaaaaaPale tulikiingia cha kike, hamna kiongozi mle.
Wanahabari msiogope, pigeni kazi hakuna kutekwamaisha yamewakaanga waalimu maskini sasa wanabeba zege wengine wanapika mitaaniView attachment 1547594View attachment 1547595View attachment 1547596
Uchumi haulishi watu jomba, uchumi hufungua nyanja tofauti tofauti ndio angalau watu wanapata fursa za kujikuza..Kazi ya kwanza kuu na ya msingi ya uchumi wowote ule duniani "is to feed people, before anything else"
The most primary and important basic need of any living thing is food & water, followed by shellter.
If you can't feed yourself then you are not independent, you must be under someone for your survival, otherwise you gonna die.
Mkuu kiongozi wa juu kabisa ana impact kubwa sn kwa maendeleo ya taasisi husika, nitoe mfano mdogo tu kuna miaka flani WaTz walikuwa wakiamini kwamba Tz haitobadilika hata rais awe nani lkn mm nikawa nawaambia vijana wenzangu kwamba cku tukipata rais makini amini nawaambia hii nchi itabadilika nikawa nawapa mifano ya baadhi ya nchi zilizobadilika mfano Botswana hawakuamini lkn leo nadhani imedhihirika jnc gn kiongozi wa juu anaweza kuwa na impact.Msimlaumu yule mzee, yanga kama yanga ina matatizo makubwa sana,sana,sana,sanaaaaa
Komora una uwezo mdg sn wa kufikiri, hebu ngoja nikuulize swali dogo tu unaelewa nini mtu anaposema per capita income.Alaaa!!economics gani ya gdp kulisha watu..ilete msomi
Kisha unifafanulie tunashindwa kuwalisha watu mpka tusubirie misaada
Hapo ilkua unatumia term gani ya uchumi
Unawezaje ku afford gharama za maisha km pato lako ni dogo? Na unawezaje kuwa na pato la ku afford gharama za maisha km pato la jumla la taifa ni dogo kulinganisha na idadi ya watu ktk nchi husika?Uchumi haulishi watu jomba, uchumi hufungua nyanja tofauti tofauti ndio angalau watu wanapata fursa za kujikuza..
Wala sio huo udubwasha wa kila kitu serikali, kw mfano nenda katika nchi zilizoendelea uone km serikali inafanya kila kitu..
😂😂😂😂👇👇👇👇
Hizo nchi zilizoendelea pato lake likoje (gdp) ukilinganisha na idadi ya watu?Uchumi haulishi watu jomba, uchumi hufungua nyanja tofauti tofauti ndio angalau watu wanapata fursa za kujikuza..
Wala sio huo udubwasha wa kila kitu serikali, kw mfano nenda katika nchi zilizoendelea uone km serikali inafanya kila kitu..
Hehehe,Magufuli ni Rais wa Tanzania,sio chato,au unataka kutuletea debate ya kijinga inayoendelea huko on Revenue sharing?Lini magufuli aliwalisha hata angalau wazee wa chato