Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii comment imeandikwa kwa uchungu mkubwa mnoo.

View attachment 1546747
now nimeisoma mkuu unajua kitu kinaitwa muda ndipo alipojificha God ukifika hakuna wa kuuzuia, kuna dalili utaanza kuziona but unakuwa huna jinc, zamani ilizoeleka WaTz ndiyo tuliokuwa tunalalamika kwmb serikali inatuzingua ndomana kenya imetupita, wkt huo huo Wakenya wakawa wanatutukana kwa kutuita kila majina, now mambo yame change tunaenda kuwapiga bao km la tembo bonge la toto kudadadeki lkn watz wametulia tu hakuna maneno maneno wala nn wanasubilia watu wazae tu😀😀😀
 
now nimeisoma mkuu unajua kitu kinaitwa muda ndipo alipojificha God ukifika hakuna wa kuuzuia, kuna dalili utaanza kuziona but unakuwa huna jinc, zamani ilizoeleka WaTz ndiyo tuliokuwa tunalalamika kwmb serikali inatuzingua ndomana kenya imetupita, wkt huo huo Wakenya wakawa wanatutukana kwa kutuita kila majina, now mambo yame change tunaenda kuwapiga bao km la tembo bonge la toto kudadadeki lkn watz wametulia tu hakuna maneno maneno wala nn wanasubilia watu wazae tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Zile zile hatua tatu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna Wakenya wapo humu wakiongozwa na mwenyekiti wao Edward wanjala wameanza kuwa na inferiority complex over us[emoji16][emoji16][emoji16]
Hawa wa humu wanajifanya wajeuri but taratibu wameanza kukubali kmy kmy, huyo wanjala mwishowe ameanza kushindana kuhusu kunywa kahawa nimecheka sn 😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom