ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Hahahaha, Kenya sio nchi, ni uozo mtupu toka Ikulu hadi Kibera, Failed State.mujionee maajabu
Yah,ndo yeyeSi ni Dr Msola au?
Mzembe sana yule mzee yn Yanga hatuna kiongozi pale kila mtu analaumu aisee.Yah,ndo yeye
Hehehe!!ndio uwaweke wazi wana kageraKomora wew ngeli hujuw kaa kimya
Pale tulikiingia cha kike, hamna kiongozi mle.Mzembe sana yule mzee yn Yanga hatuna kiongozi pale kila mtu analaumu aisee.
Hii proposal itabd nikae nayo mpk akija kiongozi mwengine cz huyu hawezi ni the most dumbest leader ever.
Tukiwaambia humu watu wao maarufu hatuwajui wanabisha, being honest mm huyo mike sonko nimemjulia humu Jf lkn sura yake siijui na wala huwa cna mpango naye wa kumjuaHii Ni proof kwamba Kenya hatuwafatilii Kama mnavojinadi![]()




Daahh tuvumilie tu mkuu kwakweli.Pale tulikiingia cha kike,hamna kiongozi mle




Halafu ikishachinjana utasikia ikija kuomba tanzania wakasuluhishe ugovi kama kpnd cha Mwai KibakiUchaguzi ujao Wakenya wanaenda kuchinjana we subiri muone![]()
ushauri wa bure warudishe ndege zote ambazo wame lease wabaki na zile ndege zao 3 chakavu wanazomiliki waanze maisha upya ila kufukuza wafanyakazi haitasaidia kwani hawafkii hata ukucha wa pesa zinazolipwa kwa wenye ndege zao



awe na rangi ya mtumeNimejoin hii thread tokea inaanza ila Kuna mafighter Sana humu nawakubali wanazidi kuwanyoosha vijana wa Kenyatta salute kwenu ichoboy,Ndida,Tuusan,Lusematic,mkorintho,Joto la jiwe,Geza ulole,Simon,walker 255,the best 007,toptorn kina Anael,Kadoda sijuwi wapo wapi asee, na woote ambao (Id) zenu zijazishika Fresh huu ndio uzalendo, bampa tu bampa mpaka tuhakikishe kila Kona wanacheuwa tu'.. sahivi Kenya wanaleta mipasho tu...
(Natoa Ofa kwa Mkenya ila awe mdada December hii Kama hatokuwa lockdown aje bongo nitamlipia kila kitu atakaa Jijini Dar-es-salaam,Jiji lenye hadhi yake ukitua tu lazima ung'ae hata Kama huna hell,pia na kwenda matembezi baadhi ya Maeneo ya Jiji kwa pesa yangu Kama upo tiare uje inbox tuyajenge ila hakikisha unarangi ya mtume)
***
Ila wabongo wenzangu huwa natamani ningekuwa na mda wa kurelax niwe camera man TU,Kuna angle nyingine nazionaga afu dar Sina camera unajua haya mafeelings ila itanibidi ninunue kamera hii ndio Kama gobore kwenye hii battle
...Mapambano yaendelee

