Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Hayo yote unayoyasema uko sahihi sana,lakini si kwa hizi timu zetu,shida si viongozi,ila system..unaona simba,simba wamebadilisha mfumo wa uendeshaji wa club yao,wamefanikiwa kiasi,japo bado kuna vijimatatizo flani flani hadi mchakato ukamilike,nao ndo watakuwa strong zaidi..yanga wabadilishe mfumo(system) ya uendeshaji wa club,la sivyo usishangae katikati ya huu msimu wachezaji hawa wapya waliosajiliwa wanagoma kisa mishahara!!!..hata aje kiongozi gani pale yanga,kama mfumo haujabadilisha yanga tutaendelea kusota zaidi na zaidiMkuu kiongozi wa juu kabisa ana impact kubwa sn kwa maendeleo ya taasisi husika, nitoe mfano mdogo tu kuna miaka flani WaTz walikuwa wakiamini kwamba Tz haitobadilika hata rais awe nani lkn mm nikawa nawaambia vijana wenzangu kwamba cku tukipata rais makini amini nawaambia hii nchi itabadilika nikawa nawapa mifano ya baadhi ya nchi zilizobadilika mfano Botswana hawakuamini lkn leo nadhani imedhihirika jnc gn kiongozi wa juu anaweza kuwa na impact.
Ss huyu mzee ameshindwa kivyote cz km Yanga ina matatizo je wa kuyatatua ni nani km co yeye? Yeye ndiye anatakiwa awe mtu wa kwanza imara na kucctza kwamba Yanga inaweza, akifanikiwa ktk hilo basi atawaambukiza mpk wana Yanga wa chini kabisa na mambo yataenda, lkn yeye km kiongozi wa juu kasanda unadhani itakuwaje?
Yanga daima mbele,nyuma mwiko




