Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utamaduni wetu ni wa kipekee saana,tumetamka MUNGU ibariki Tanzania mara nyungi,nae ameamua kutubariki kweli kweli.

Michezo tumepiga hatua ya kipekee kuliko,tuna muziki wa Bongo Fleva wenye kufatiliwa na kisikizwa mara zaiidi ya bilion moja,Ushabiki wa mpira ni wa kusisimua saana umetawaliwa na upendo,hamasa na hari kubwa.,tunayo Bongo movie...etc.
 
hako kawimbo Mungu huwa anakasikiliza am sure.

hili sijui ni taifa la naman gani.
 
Hii comment imeandikwa kwa uchungu mkubwa mnoo.

ytcomment.PNG
 
Back
Top Bottom