Tanzania tuna kila sababu ya kuwa economic giant in EA... tulishindwa tu kupata mtu anaejiamini na kuiamini Tanzania yenyewe kwamba tunaweza.. yale maparachichi ‘yanayodaiwa’ kutoka kenya soon hayataonekana!
JPM ni Neema ya kipekee,ni kama Lulu!Huu ndo Utajiri wenyewe.....Tujipange kwa Utalii mkubwa sana Mwakani.Bado anatrend tu duh huyu mzee kaimaliza corona kibishi sn [emoji3][emoji3][emoji3]
Daah,ni enyewe!!Huyu mchoraji amepatia. View attachment 1541398
Watakoma!View attachment 1541420
Tujikumbushe kidogo
hapo chin nimeona maana halisi ya failed state 😂😂😂😂😂 Au kuna m2 kaiba pesa za msaada hapo!!!!!😂
Eh Mungu baba! Hapo chini Mogadishu 2.0 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hiyo ya Chini inafanana na ubungo but not ubungoHapo sio Ubungo. Ni Tazara.
Hili la nyama Tanzania italiteka bara Asia sana,'Halal',ni kitu ambacho kinazingatiwa sana Tanzania.Tanzania tuna kila sababu ya kuwa economic giant in EA... tulishindwa tu kupata mtu anaejiamini na kuiamini Tanzania yenyewe kwamba tunaweza.. yale maparachichi ‘yanayodaiwa’ kutoka kenya soon hayataonekana!
Duh elections are costlty..ila last election tulisave 12 bil Tsh zimetumika kujenga NEC headquaters DodomaOnly in Tanzania
Kenya igeni mfe
We need kama Tanchoice 5 hivi by the end of Next 5 years...lets see if other will follow..hapo bado viatu kutoka kiwanda cha Karanga Factory MoshiTanzania tuna kila sababu ya kuwa economic giant in EA... tulishindwa tu kupata mtu anaejiamini na kuiamini Tanzania yenyewe kwamba tunaweza.. yale maparachichi ‘yanayodaiwa’ kutoka kenya soon hayataonekana!
MV mwanza inaisha 2022 kama sikoseiHii co Mv mwanza mkuu hii ni mv Victoria.
waliombwa mpaka dec 2021 wawe wamekamilishaMV mwanza inaisha 2022 kama sikosei
😀 Kwakuwa anaishi kibera basi itakua amesurufuInaonekana upo kwenye siku zako ndo maana unasumbua sana
Waiting is over....[emoji122][emoji122][emoji122]
Tuliwaambia huu mwaka watatii MK254 @ komora096 Tony254Niongeze volume au inatosha [emoji116][emoji116]
PM: Tanzania ya kwanza Afrika kusambaza umemeView attachment 1540869
2022 we we andaa andaki tu lazima damu imwagike tuTwende kw siasa za mt kenya, we unaonaje 2022
Wangewapa Songolo marine tuuhii ni kampuni ya kenya inatengeneza pilot boats..
boats zenyewe ndo zinatengenezwa hiv [emoji23][emoji23] hata fundi garage anaweza kutengeneza [emoji23]
View attachment 1540038
View attachment 1540039View attachment 1540040View attachment 1540041