Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,430
Hii ni gani!!Wallahi huyu mnyama kila nkimuangalia najisikia raha sn wallahi ebu Edward Wanjala hebu kuja huku uone.
Hii ni gani!!Wallahi huyu mnyama kila nkimuangalia najisikia raha sn wallahi ebu Edward Wanjala hebu kuja huku uone.
Mzizima uyoHii ni gani!!
Kitu....lite
Ndio...nadhani itakuwa hivyohapa nafikiri wanapanda train operators na staff wengine
View attachment 1541872View attachment 1541874View attachment 1541875View attachment 1541877View attachment 1541878
Wow!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]omba sana2022 we we andaa andaki tu lazima damu imwagike tu
Vipi mumeshaleta mpunga mwnginehii ni kampuni ya kenya inatengeneza pilot boats..
boats zenyewe ndo zinatengenezwa hiv [emoji23][emoji23] hata fundi garage anaweza kutengeneza [emoji23]
View attachment 1540038
View attachment 1540039View attachment 1540040View attachment 1540041
Naita wakenya wwnzangu[emoji23][emoji23][emoji23]wewe unayealika watu kwa kusema"KUJENI"
hapo umepatia kitu gani jamaa yangu!!!!! [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent from my G3226 using JamiiForums mobile app
Huyo ni mjaluo na hana tofauti na wa hayaa[emoji23][emoji23]I almost died when I saw this clip on twitter [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tutajie hzo herufi ambazo zinatushindaWakenya wengi tu hawawezi kutamka herufi kwa ufasaha tena ninyi ndio wenye worst pronunciation problems zaidi ya waafrika wote
Achana nae huyohahaha,pole sana,imeonekana umesahau na hii..
Kenya rated second best in English fluency test
Huyo hata shule hajafika..majority of you are like this [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
sasa unasemaje mnakijua kiswahili kukitamka kama mnaelewana wazee wa slums pekee yenu!!!!Naita wakenya wwnzangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hyo lugha haikuhusu, km imekuuma we mezea tu..lkn wakenya wakiona hilo neno wanalewa km ninemaanisha nn[emoji382][emoji382]
Oooh. Nilidhani ilimazika. Kwani kuna nini!? Niliona hilo jumba kitambo kidogoMzizima uyo
Si unajua nchi yetu kwa sasa majengo co kipaumbele but naona linaenda kumaliziwa af apo ndo itapita brt ambayo itapelekea muonekano km Sandton city [emoji3][emoji3]Oooh. Nilidhani ilimazika. Kwani kuna nini!? Niliona hilo jumba kitambo kidogo